Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Asante, yes inaonyesha anaweza kuchange with a penalty ila tatizo hawezi kuaccess her ticket online anymore, I guess sababu wameshaicancel ticket, hapo ndiyo hajui afanyaje.Aangalie kwenye ticket kama alikata hardcopy kuna terms and conditions ila hawezi kupata refund bali anaweza kubadilisha within 24hrs kwa kuomba ticket mpya na kulipia re-issue (rebooking) na tofauti (fare difference) kama ipo
Vyote vinafanyika in parallel, kupata hizo customer support za airlines ni mtihani kweli.Pole kwake , awe makini na maandalizi ya mapema ayazingatie.
Angeweza kuuliza kwa wahusika angepata jibu sahihi la moja kwa moja kuliko huku mitandaoni
Afate huu muongozoAangalie kwenye ticket kama alikata hardcopy kuna terms and conditions ila hawezi kupata refund bali anaweza kubadilisha within 24hrs kwa kuomba ticket mpya na kulipia re-issue (rebooking) na tofauti (fare difference) kama ipo
Mamie acha tu, kichwa kimepata moto haswaa 😅😹😹😹 Mwambie ndege sio bus za mkoa..!!
Sisi tutalala airport tusichelewe madili yetu hata tukiumwa tutapanda na drip zetu mkononi..!! 😹
😂😂😂😂😂😹😹😹 Mwambie ndege sio bus za mkoa..!!
Sisi tutalala airport tusichelewe madili yetu hata tukiumwa tutapanda na drip zetu mkononi..!! 😹
Na asiwe amekata go n return wohiii 😹😹😹Mamie acha tu, kichwa kimepata moto haswaa 😅
Tutamzabua makofi baadaye, sasa hivi inabidi tumsaidie tu!
Udugu upo? 😹😂😂😂😂😂
Apige simu Call Center haraka na aongee na customer care wa Turkish Airlines, sio travel agents popote, wao wana access ya hizo information, kama imeshatua taarifa zinafutwa na kama ni round trip hata ya kurudia ataikosa, maana kama alipaswa kusafiri leo alafajir inabidi apate ya kesho yake au next available flightAsante, yes inaonyesha anaweza kuchange with a penalty ila tatizo hawezi kuaccess her ticket online anymore, I guess sababu wameshaicancel ticket, hapo ndiyo hajui afanyaje.
View attachment 3441556
Daaah!Vyote vinafanyika in parallel, kupata hizo customer support za airlines ni mtihani kweli.
Yuko kwenye waiting ya call kwa 30 min now.
View attachment 3441559
Yakurudia ikiwa ni miezi mi3 mbele bado hawatakuruhusu kupanda?Apige simu Call Center haraka na aongee na customer care wa Turkish Airlines, sio travel agents popote, wao wana access ya hizo information, kama imeshatua taarifa zinafutwa na kama ni round trip hata ya kurudia ataikosa, maana kama alipaswa kusafiri leo alafajir inabidi apate ya kesho yake au next available flight
Tuliwahi kuacha mtu anashangaa Hamad airport Qatar akakaa pale airport 24 hours akaja kesho yake