MSAADA - ambaye ameshadeal na kuachwa na ndege / “no show” na Turkish airlines anisaidie

😂😂😂 Kijana Unataka ukalipe ng'ombe 15 uchukue chotara? Kwanini hizo ng'ombe 15 usianzishe hata biashara ya butcher halafu ukijipata nenda Mbulu kachukue mtoto wa Kihabeshi asiye na mambo mengi?
Manyanza!

Manyanza!

Manyanza!

Nimekuita mara tatu. Ūlīnamoyo gwabūbi nyanda. Ūgūnisobelaga nibūlī? Yaani ū Intelligent businessman aleke gūtola ng'wanīkī chotala Omalekani nīyo agūsomelaga būdagitali bo moyo aje agatole malaya o Mbūūlū?

Ūlīosagala sana bahebu 😡😡😡😡
 
Hujui tofauti kati ya USD na Euros
 
Asante dada, tumefanya hivi na tumefanikisha.

Turkish huwa hawana chat kwenye website ila through help desk yao ya Twitter wametupatia namba ya simu ya watu wa call center wakatusaidia.
Mara nyingi masharti yanakuwa kwenye Ticket na inategemea kama umekata ya promotion ukiachwa ndo inakuwa imetoka.
 
Dah Shimba ya Buyenze na Manyanza mme nichekesha Sana, hii nime elewa kiasi.

Kuwa ana moyo ngumu, yaani ana nikataza nisije kuoa mtoto wa Shimba ya Buyenze chotara ambae ni daktari wa moyo, halafu nika oe malaya wa kimbulu 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…