Msaada: Amekosa mkopo Chuo Kikuu, anahitahi angalau 50% tu

Msaada: Amekosa mkopo Chuo Kikuu, anahitahi angalau 50% tu

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2018
Posts
983
Reaction score
2,306
Alisoma:

Primary: English Medium.

O level: private.

A. Level: government

Occupation:

1. Baba: mkulima.
2. Mama: mama wa nyumbani.

Dogo ndio anashughulika na appeal yake now. Anataka ata least apewe hata mkopo wa asilimia hamsini tu.

Je, kuna namna anaweza kusaidiwa katika hilo? Afanye nini?

With much thanks in advance
 
Acheni kujiendekeza .

Huko nyuma aliwezaje kusoma?
 
Mimi nilisoma shule style hyo hyo. Nmefika chuo nkaomba mkopo nakumbuka nkafungua account nkakuta imeandikwa "undefined".
Nkawaza hiyo hela si ningeenda kunywa koncho tu niwake?
Anyway, kusoma gvt advance sio kigezo.
Ye aende akaripoti apambane. Huo mkopo smtimes jau tu.
Mnaeza kuta mnampambania alaf akiupata anaenda kununua "ma-logo" nq yale masuruali mapana ya vijana. Takataka tu.
 
Ni binti wa 2003.

" Nikawaza hiyo hela si ningeenda kunywa koncho tu niwake" - hela ipi mkuu? Uliyo Lipa ada private primary na secondary?
 
Duh pole kiongozi hapo no way, aue hata mzazi Mmoja kwenye rufaa la sivyo mambo yatakua mabaya tu. Shida ni olevel ndugu shule aliyosoma king'amua uwezo kimesetiwa kiwaki sana hayo maswali unayojengea hoja kuwa maisha yanabadilika wao awajui hilo na awajiangaishi kabisa waombaji zaidi ya laki Moja na elfu 70 na kitu na bajeti ni kwa watu 73 na ka point kwahyo ni robo 3 nzima lazima wakose ni janga kubwa sana hili ,
Serikali ifute ada vyuo vikuu walau wazazi na ndugu wakapambane na jinsi gani mwanafunzi wao ataishi chuoni ada hiwe ni haki ya Kila mwanafunzi tupunguze ma stress
 
Alisoma:

Primary: English Medium.

O level: private.

A. Level: government

Occupation:

1. Baba: mkulima.
2. Mama: mama wa nyumbani.

Dogo ndio anashughulika na appeal yake now. Anataka ata least apewe hata mkopo wa asilimia hamsini tu.

Je, kuna namna anaweza kusaidiwa katika hilo? Afanye nini?

With much thanks in advance
Shukuru mungu umekosa mkopo.
 
Anaweza kabisa, lakini anatakiwa Afanye baadhi ya mambo mfano aweke barua ya udhamini kwa shule aliyosoma olevel, au aandikiwe barua kutoka kwa mlezi wake kwamba alikua anasaidiwa naye na akamsomesha kulingana na hali ya wazazi wake kuwa duni kwa sasa hawezi kuendelea gharama za chuo kubwa, asiue wazazi ni laana. Kwa maelekezo mengine 0743567159 whatsup
 
Yaani bado Amna angaika na madegree kiasi hicho hivi nina aliushangaza ulimwengu Kwa madegree
 
Eti auwe mzazi aisee kisa mkopo wa kubeti kupoteza mda kweli wa afrika tuna laana.
 
Eti auwe mzazi aisee kisa mkopo wa kubeti kupoteza mda kweli wa afrika tuna laana.
Kwa kua wewe Unayo hiyo degree ya kukupotezea muda ndo mana mwenzio ana ata hiyo degree ya kumpotezea muda mwache hapambane aipate kwanza
 
Back
Top Bottom