MSAADA: Amenidhulumu pesa yangu lakini aliacha viatu vyake kwangu

Kwitogelo

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2023
Posts
310
Reaction score
442
Habari wakuu.

Kuna jamaa yangu alikuwa na shida ya pesa laki tano(500,000/=) ili akaongezee kama nauli kwenye biashara zake kusafirisha kutoka DSM kwenda Songea.

Kama rafik yake ninayefahamiana nae muda mrefu kidogo na kutokana na namna alivyokuwa akihangaika kuipta hyo pesa nikaamua kumuazima laki mbili(200,000/=) ili kupunguza ukubwa wa kiasi cha pesa kilichokuwa kinahitajika na akaniahidi akipata tu hiyo pesa atanirudishia kabla wiki moja lakini mpaka sasa ni miezi miwili hata simu zanhu hapokei hata kama nilikuwa sina nia ya kumkumbushia deni hilo.

Sasa wananzengo huyu jamaa sitaki kumdhuru kwa namna yoyote kwasababu nina viatu vyake na huwa nasikia kuna namna unaweza kutumia mavazi ya mtu na ukamfanya chochote unachotaka ila mimi ninachotaka viatu vyake vitumike kunirudishia kapesa kangu tu. Naomba msaada wenu maana jamaa nimeona hana huruma kabisa huyu mshenzi.
 
Ila mimi ninachotaka viatu vyake vitumike kunirudishia kapesa kangu tu. Naomba msaada wenu maana jamaa nimeona hana huruma kabisa huyu mshenzi.!

Hakuna njia ya namna hiyo inaweza kumfanya akakurudishia hiyo pesa.. Hapo kuna mawili usamehe na kusahau ama uendelee kumfuatilia taratibu
 
mimi ninachotaka viatu vyake vitumike kunirudishia kapesa kangu tu.
Unavichemsha, weka na pilipili manga na chumvi ya mawe kidogo huku ukinuiza maneno utatakayo. Fanya hivyo kwa siku saba kisha vianike Juani huku ukiendelea na manuizo.

Vikikauka chukua kiwi, vipake huku ukiendelea kunuiza na kumnenea mema, huko uliko biashara yako ikawe nzuri, ukapate ladha kwa watu, mikono yako ikapokee hela.

Kama mikono yangu ilivyo meremetesha viatu vyako, ndani ya siku saba miguu yako ije kumeremetesha mikono yangu.

Huto pokea 200,000/ utapata zaidi ya hapo. Tatizo letu wabongo tunapenda sana kuroga kwa kuharibu maisha ya watu, wakati tunaweza kuroga kwa kutengeneza maisha ya mtu.

Hamna uchawi mbaya kama maneno
 
The Tradegy Of Assumption

Some few weeks ago, I went to a funeral in my neighborhood.

When I entered the tent, I saw some elders I knew sitting in one corner. I went up to them and started to greet them one after the other.

I shook their hands, even with the ones I didn't know until I got to one man. I didn't know him and when I extended my hand, he ignored it. After a few seconds, I withdrew the hand.

I felt very embarrassed and angry. Embarrassed for myself and angry at the man.

What was he feeling like, I thought. All those other men accepted my greeting, older men even. And to my knowledge, I hadn't done anything wrong. I gave him a very scornful look, greeted the remaining men and went to take a seat.

Now, even after I sat down, I was still pissed off. I kept stealing glances at the man to see how he would react to other people.

Then I saw it...

He was blind!!! 🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️

His eyes were open, but he couldn't see at all! The other people who came to greet him had to touch him first, then take his hand if they wanted to shake hands with him.

Now my embarrassment level tripled. In addition to that, I felt stupid, very stupid. I became angry, just angry at myself. I felt like that till I left the funeral.

Assumption kills like poison. Any small thing, we Assume...

Someone doesn't pick our calls, we assume he or she is avoiding us or is up to something...

Someone doesn't give us the money we asked for, we assume he or she is stingy and wicked...

Someone doesn't call, hangout or visit you as he/she use to. We Assume they are no longer caring or intimate again, then comes the anger and repulsive attitude towards them. We never care to know and understand that issues of Life can set in to choke them.....

Once we are turned or rejected, we start assuming...

We don't put into consideration what the other party might be going through.......

The guy that promised you money might get into a financial situation a day before he's supposed to give you the money.

The person that didn't pick your call was probably in a meeting or too busy at that moment, or even sleeping. He might not be in the mood to take your call.

But we just assume instead...because it’s easier and it tends to make us the good guys...

Give someone benefit of the doubt.....make an excuse for that person......
It's not always as it seems...

Maintain relationships with people.

It is childish and immature to pick offence at every provocation or perceived wrong and then start keeping grudges as a result.

Grow above it.

Someone did not invite you to their wedding, you pick offence with them.

Someone didn't wish you happy birthday, you pick offence with the Person

They didn't like your Facebook Post, you pick offence.

They didn't support you in a disagreement you had with someone, you pick offence with them.

They are junior and they have the audacity to talk or oppose your opinion. You pick offence with them.

They said No to your request, you pick offence and malice starts.

You asked them for money, they said they didn't have it, you pick offence with them.

You are even keeping a record of people who brought gifts to your wedding, so you can know who to pick offence with.

See......

Everyone has their battles you are not aware of.

Those who you need help from are also looking for help.

Not everything is Personal and intentional

Not everyone hates you.

Sometimes people are just caught up with their own lives, struggles, human weaknesses and limitations.

Learn how to manage being disappointed by people and still be on talking terms with them. It will save you a lot of UNNECESSARY grudges and save you some FRIENDSHIPS you may need in Future.

Grow above offences.

Copied and pasted
 
Pamoja na hayo yote kisa cha kujua na kujiridhisha kwamba jamaa amenidhurum alianza kuniuliza Mimi nani baada ya kumpigia.

Bila tatizo wala kinyongo nami nilimtajia jina langu ndipo akanambia alipoteza simu na moja kwa moja akanambia pesa ninayomdaai angenilipa siku inayofuata lakini nilikaa wiki na baada ya hapo nilimtafuta lakin cha ajabu hakupokea simu zangu mpkaka sasa.

Je,kuna shida yoyote hapo itakuwa imetokea kwake na nisijue na wakati kuna muda hyohyo simu yake inakuwa busy?
 
Hivo viatu vyake aliacha vp sas....
Mliandkshiana wkt mnakopeshana?
No hatukuandikishana kutokana na ukaribu wangu na yeye,tumekuwa tukishauriana na kusaidiana vitu vingi.

Kuhusu viatua alisahau kwasababu alifikia ninapoishi
 
Unavichemsha, weka na pilipili manga na chumvi ya mawe kidogo huku ukinuiza maneno utatakayo. Fanya hivyo kwa siku saba kisha vianike Juani huku ukiendelea na manuizo.

Vikikauka chukua kiwi, vipake huku ukiendelea kunuiza na kumnenea mema, huko uliko biashara yako ikawe nzuri, ukapate ladha kwa watu, mikono yako ikapokee hela.

Kama mikono yangu ilivyo meremetesha viatu vyako, ndani ya siku saba miguu yako ije kumeremetesha mikono yangu.

Huto pokea 200,000/ utapata zaidi ya hapo. Tatizo letu wabongo tunapenda sana kuroga kwa kuharibu maisha ya watu, wakati tunaweza kuroga kwa kutengeneza maisha ya mtu.

Hamna uchawi mbaya kama maneno
😂😂😂 mkuu sasa raba napakaje kiwi tena?
 
Pamoja na hayo yote kisa cha kujua na kujiridhisha kwamba jamaa amenidhurum alianza kuniuliza Mimi nani baada ya kumpigia.

Bila tatizo wala kinyongo nami nilimtajia jina langu ndipo akanambia alipoteza simu na moja kwa moja akanambia pesa ninayomdaai angenilipa siku inayofuata lakini nilikaa wiki na baada ya hapo nilimtafuta lakin cha ajabu hakupokea simu zangu mpkaka sasa.

Je,kuna shida yoyote hapo itakuwa imetokea kwake na nisijue na wakati kuna muda hyohyo simu yake inakuwa busy?
give him a benefit of doubt, subiri utalipwa.
 
Back
Top Bottom