MSAADA: Amenidhulumu pesa yangu lakini aliacha viatu vyake kwangu

MSAADA: Amenidhulumu pesa yangu lakini aliacha viatu vyake kwangu

Usikubali kuzulumiwa kizembe kama vp uza ng'ombe kwa kesi ya kuku
 
Ila mimi ninachotaka viatu vyake vitumike kunirudishia kapesa kangu tu. Naomba msaada wenu maana jamaa nimeona hana huruma kabisa huyu mshenzi.!

Hakuna njia ya namna hiyo inaweza kumfanya akakurudishia hiyo pesa.. Hapo kuna mawili usamehe na kusahau ama uendelee kumfuatilia taratibu
Kama mchana kasema hvyo mm nani nipinge jaman😋
 
Ungekuwa unataka kumuua ningekupa njia simple ya kumuua mtu kwa kutumia viatu vyake tu, uende ukajaribu.

Nilielekezwa tu lakini sijaijaribu
 
Nenda kaviache msikitini tu vitapata mtu na baada ya hapo mwenyewe Atakutafuta.
 
Back
Top Bottom