Ila mimi ninachotaka viatu vyake vitumike kunirudishia kapesa kangu tu. Naomba msaada wenu maana jamaa nimeona hana huruma kabisa huyu mshenzi.!
Hakuna njia ya namna hiyo inaweza kumfanya akakurudishia hiyo pesa.. Hapo kuna mawili usamehe na kusahau ama uendelee kumfuatilia taratibu