Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,438
- 6,313
Habarini wakuu wa jukwaa.
Naomba kufahamu yeyote anaejua kampuni ya uhakika wanao safirisha loose cargo kutoka UK.
Kuna Machine nataka ninunue zije kwa maji, kuzipandisha ndege kwa uzito wake gharama ya usafiri ni bei ya kiwanja.
Pia Mashine nyingi zimejaa madukani, wafanyabiashara wanaleta knock off za mchina, nadhani kwasababu ya watumiaji kukosa uelewa.
Natanguliza shukran.