Msaada anaejua Kampuni inayosafirisha mizigo kwa meli kutoka UK

Msaada anaejua Kampuni inayosafirisha mizigo kwa meli kutoka UK

Jamaa anajitahidi ila kama binadam wengine pia ana mapungufu, kuna majibu mengine sio mazuri kwa wateja, ila ni vitu vidogo vinavyirekebishika.

Pia kuna ile hali ya u busy uliopitiliza, ni vizuri kuajiri mtu atakae wajibu wateja mojakwa moja, kuna watu wanaulizia hawajibiwi, kiukweli inakatisha tamaa unauliza kitu unashida nacho hujibiwi, hii ni kwa biashara zote ni vizuri kuwa na mpango kazi wa kuhakikisha wateja wako wote wanahudumiwa ipasavyo kwa maslahi mapana ya kampuni/ofisi.
Hao watu ukiwaajili inabidi wawe na uzoefu wa mazingira unayofanyika kazi. Akiwaajili gharama zitakuja kwenu wateja maana wanalipwa hela ndefu

Kwani yeye anadai anafanya nini maana sijawahi mfatilia, unakuta kampuni imejitangaza ni shipping agent ila anatokea Mha mmoja Kigoma anapiga kuulizia mashine X ya kusaga kahawa bei gani, ungekuwa wewe hapo unarespond vipi

Huwa tunarespond haraka kwa watu walio direct. Unatuma ujumbe: "Mimi fulani niko Dodoma, mzigo wangu X uko Birmingham nataka supplier aulete warehouse zenu pale UK. Naomba address na gharama" Kaa uone kama hujajibiwa, wewe hawezi kukukimbia hata umalizie na tusi hapo

Sasa wewe andika "Kaka habari za jioni" hapo eti unasubiri jibu. Masaa manne baadae, unatext "hivi camera shilingi ngapi". Hapa unategemea jibu gani. Huyo mtu ana watu kibao wamemsubiri aje kuanza conversation na wewe wakati tiyari ashajua hauko serious

Kurespond kwa wateja ni kazi. Kampuni zote kubwa duniani zina changamoto hii. Sasa wateja wajitahidi kuondoa usumbufu usio lazima. Ofisini walikuwa na msemo wa "hebu tuone huu ujumbe, aah hakuna kazi hapo" sasa ukiwekwa pending ili ujibiwe baadae ndio hivo wanaingia saa moja wanatoka siku nyingine saa tano usiku. Alafu nchi hii kampuni zote za shipping/ clearing & forwarding/ hauliers zina matatizo, hakuna iliyokamilika hata moja
 
Jamaa anajitahidi ila kama binadam wengine pia ana mapungufu, kuna majibu mengine sio mazuri kwa wateja, ila ni vitu vidogo vinavyirekebishika.

Pia kuna ile hali ya u busy uliopitiliza, ni vizuri kuajiri mtu atakae wajibu wateja mojakwa moja, kuna watu wanaulizia hawajibiwi, kiukweli inakatisha tamaa unauliza kitu unashida nacho hujibiwi, hii ni kwa biashara zote ni vizuri kuwa na mpango kazi wa kuhakikisha wateja wako wote wanahudumiwa ipasavyo kwa maslahi mapana ya kampuni/ofisi.
Huyu jamaa anajisikia Sana kwanza anamajibu mabaya Sana Kwa wateje anaweza kukupa jibu usirudi tena

Japo jamaa nimsaada Sana , ajirekebishe naamini atafanya biashara Zaid ya hapo
 
Back
Top Bottom