Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,438
- 6,313
KC hasafirishi tena mizigo ya watu, ni ya kwao tu wanayouza.Nenda facebook , tsfute jamaa moja anabiita KC hues analeta vitu kila mara; ofisi zake ziko mikocheni ; na sasa hivi yuko hapa likizo, naweza kukupa namba zake sema jamaa anajisikia sana
Ulimaanisha KC global bila shaka.Nenda facebook , tsfute jamaa moja anabiita KC hues analeta vitu kila mara; ofisi zake ziko mikocheni ; na sasa hivi yuko hapa likizo, naweza kukupa namba zake sema jamaa anajisikia sana
Kumbe Chris Lukosi huwa anajisikia sana!!Nenda facebook , tsfute jamaa moja anabiita KC hues analeta vitu kila mara; ofisi zake ziko mikocheni ; na sasa hivi yuko hapa likizo, naweza kukupa namba zake sema jamaa anajisikia sana
Shukran mkuu🙏🙏🙏
Yeah, unaweza kumtumia meseji WhatsApp su ukampigia asikujibu.Kumbe Chris Lukosi huwa anajisikia sana!!
Ego😂Yeah, unaweza kumtumia meseji WhatsApp su ukampigia asikujibu.
Anaculimbukeni flani hivi
Hawajibu hawa nilishawasiliana nao kimya, pia watu nimeona instagram wanalalamika hawajibiwi inquiries.Kampuni ya Uhakika kusafirisha mzigo aina yeyote, kwa meli na pia kwa ndege ni
MK Logistics
+255 768 333 344
÷255786111999
Wapo kariakoo karibia na fire, mtaa wa twiga na nyamwezi.
Waambie umeelekezwa na yaqub, utapata discount.
Karibu mkuu.
Kumbe huku ndio kujisifia unakosema. Ndugu yangu hujawahi pata kazi ya kuwa busy na simu yako binafsi ikawa ndio simu ya kazi, unaweza kimbia simu.Yeah, unaweza kumtumia meseji WhatsApp su ukampigia asikujibu.
Anaculimbukeni flani hivi
Labda kipindi cha nyuma kaka, sasa hivi wako vizuri sana, jaribu tena kiongozi.Hawajibu hawa nilishawasiliana nao kimya, pia watu nimeona instagram wanalalamika hawajibiwi inquiries.
Jamaa anajitahidi ila kama binadam wengine pia ana mapungufu, kuna majibu mengine sio mazuri kwa wateja, ila ni vitu vidogo vinavyirekebishika.Kumbe huku ndio kujisifia unakosema. Ndugu yangu hujawahi pata kazi ya kuwa busy na simu yako binafsi ikawa ndio simu ya kazi, unaweza kimbia simu.
Ubaya wa watu ambao hawajawahi kuwa famous huwa wanaamini ukishika simu inabidi ujibu na kupokea muda wowote. Nilienda ofisi fulani nikapewa simu niwe narepsond kwa wateja, kila siku zinaingia jumbe zaidi ya 200 na lazima uanze iliyoanza kuingia na umalizie ya mwisho. Ndio hivi mtu anadai unajisikia kisa katuma ujumbe saa 3, uko online ila mpaka saa 7 hujajibu.
Mtu anakuja na story na porojo badala kwenda direct kwenye point. Anapiga simu badala ya kutuma ujumbe au anatoa taarifa hazieleweki. Baadae anakuja lalamika
Sawa mkuu, wakiona ujumbe wangu natumai watajibu.SLabda kipindi cha nyuma kaka, sasa hivi wako vizuri sana, jaribu tena kiongozi.