Msaada: Ananisugua kiganja nyakati za usiku nikiwa nimelala

Unaoa mtu kutoka tunduru halafu unashangaa kusuguliwa kiganja??na Kwa Nini hasugui Hiko kiganja mchana au kabla hamjalala??hebu ingia kwenye maombi ,Kuna kitu utagundua
 
Unaoa mtu kutoka tunduru halafu unashangaa kusuguliwa kiganja??na Kwa Nini hasugui Hiko kiganja mchana au kabla hamjalala??hebu ingia kwenye maombi ,Kuna kitu utagundua
Acha imani hiyo huyo dada anataka dyudyu🀣
 
Mtoto sausage mayai hawezi kujua mgagi
Wenzie soseji tumezijulia ukubwani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… asubuhi unapigwa chai ya mchai mchai na kiporo cha ugali au viazi vitamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…