Msaada anataka kunyang'anywa nyumba yake na kuuzwa kutokana na deni la sh 96,000

Skull dance

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2021
Posts
476
Reaction score
953
Kuna dada ameniambia nyumba yake ipo mbioni kuuzwa baada ya kukopa hela kausha damu na baadaye akapata shida ya kuuguliwa na mtoto akashindwa kurejesha marejesho kwa wakati

Kampuni ikamtaka atoke nyumbani kwake ili nyumba iuzwe na kibao cha kutangaza kuuzwa kwa nyumba hiyo wanategemea kukiweka kesho.

Amechanganyikiwa akataka kujiua kwa sababu pia yeye ni single maza anategemewa na watoto wake. Nimemwomba asijiue nijaribu kumtafutia suluhisho la shida yake.

Nimekuja kwenu wakuu kama kuna namna ya kumsaidia huyu dada ili apate haki yake. Karibuni
 
Kuna dada ameniambia nyumba yake ipo mbioni kuuzwa baada ya kukopa hela kausha damu na baadaye akapata shida ya kuuguliwa na mtoto akashindwa kurejesha marejesho kwa wakati kampuni ikamtaka atoke nyumbani kwake ili nyumba iuzwe na kibao cha kutangaza kuuzwa kwa nyumba hiyo wanategemea kukiweka kesho. Amechanganyikiwa akataka kujiua kwa sababu pia yeye ni single maza anategemewa na watoto wake. Nimemwomba asijiue nijaribu kumtafutia suluhisho la shida yake.

Haki yake ni kulipa deni

Ukikopa lipa
 
Mkuu hili deni ni TSh au ni usd dollars????
 
Lipa wewe hiyo hela anza kula tunda! 96 tu huna ? Hadi upige kelele humu?
 
mkopo wa 96,000 dhamani ni nyumba au sio mwanetu...fresh tu
endelea kutupanga
Mkuu, nimemkuta huyo dada katika hali ya huzuni na akiwaza kujiua kutokana na hayo yote kama nilivyoyaeleza hapo juu, sijajua alivyokopa alipewa masharti gani wala dhamana, mimi nilileta kwenu ili kutafuta namna ya kumsaidia kisheria ili apate haki yake
 
Back
Top Bottom