Msaada anataka kunyang'anywa nyumba yake na kuuzwa kutokana na deni la sh 96,000

Msaada anataka kunyang'anywa nyumba yake na kuuzwa kutokana na deni la sh 96,000

Kitendo cha kukopa bila kuwa na plan A na B ya namna ya kulipa ni ajabu
Si ndo tulivyo wamatumbi?
No one is willing to take accountability.

BTW ulipotea, leo umenijia akilini na leo hii hii nimeona comment yako, kweli I have psychic powers😎
 
Nyumba zilizoandikwa "INAUZWA KWA AMRI YA MAHAKAMA" zimekuwa nyingi mitaani.
 
Kwahiyo akae tu bila kupambania maisha mkuu?
Kama ni wewe au ni mtu wako wa karibu sana(PAMBANA/APAMBANE)huruma sio malezi



Ikiwa ni mtu wa mbali kidogo nikushairi achana na mambo ya watu.

Familia zina siri nyingi nje ya hayo,labda kwenu mpo strong tu.
 
USD? Duh! Bora hata ungesema Ksh.

Hao jamaa wa kausha damu wana mkwara sio poa, mtu anaweza jitundika.
Kwa ksh Bado itakuwa haifiki hata mil mbili za kitanzania... Kwahiyo tuseme labda alimaanisha usd ambapo inarange zaidi ya tsh mil 200. Kama ni hiyo hapo ni sawa nyumba ipigwe mnada😀
 
Weka tu hapa. Mbona siyo siri hayo mambo.

Ila naona ogically haiwezekani mkopo wa 96,000 dhamana ikawa nyumba.

Tufanye kweli dhamana ni nyumba. Je hii nyumba itachukuliwa kama vitisho vyao vinavyodai?

Itachukuliwa ila kwa utaratibu, ambapo inabidi kesi ifike mahakamani na mdaiwa kuonekana hawezi lipa hicho kiasi na hana mali nyingine ya kuweza kulipa 96,000 basi nyumba itauzwa kwa amri ya mahakama.

Hata hivyo kama nyumba ni ya wanandoa na mwanandoa mmoja hajui kuhusu mkopo au hakuridhia mwanandoa anaweza weka pingamizi na nyumba haitauzwa.
Namba yake ya simu hiyo 0639033597 mpigieni mmuulize yote I am done 🙌🏽
 
Nimefanya kwa nafasi yangu na uwezo wangu, nimejaribu kumuunganisha na kazi za mgahawa ili apate vihela vya kujikimu pia kuna mchungaji nilimuunga nae ili amjenge kiroho aachane na hiyo roho ya mauti aliyokuwa nayo kabla.

NB. Nimeongea naye kuhusu kuleta namba yake hapa jukwaani akaridhia naomba mumsaidie kwa mtakavyoguswa na sio kumtapeli.
 
Wakuu naombeni mumpigie simu huyo dada namba yake nimeiweka anasema wanataka kuuza nyumba yake
 
Wakuu msaidieni huyu dada nyumba yake inataka kuuzwa bango limeshawekwa
 
Wakuu huyu dada anaomba mwenye hiyo 96,000 aongee naye ampe nyumba kwa mkataba mtakavyokubaliana ili isiuzwe halafu mtalipana naomba mwenye roho njema ampigie simu amsaidie taratibu zote zakiserikali zitafuatwa naomba sana wakuu 🙏🏽🙏🏽
 
Namba yake ni hiyo 0639033597 jina anaitwa FARIDA yupo Bwanga Katoro mkoa wa Geita
 
Back
Top Bottom