Skull dance
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 476
- 953
Ningekuwa nayo ningesha msaidia wala hata nisingefika hukuWewe hauna laki moja au rafiki wa kukupa laki moja???
Sawa mkuuWanamtisha tu. Kukamata dhamana sio rahisi kiasi hicho, ni mchakato wa kuanzia kwa mjumbe then polisi. Nyumba haiuzwi lakini alipe deni la watu.
Sawa mkuuDeni la laki lifanye nyumba iuzwe? mwambie aache woga, wanamtisha tu. Aongee nao atafute pesa ya watu alipe deni.
Kuna dada ameniambia nyumba yake ipo mbioni kuuzwa baada ya kukopa hela kausha damu na baadaye akapata shida ya kuuguliwa na mtoto akashindwa kurejesha marejesho kwa wakati kampuni ikamtaka atoke nyumbani kwake ili nyumba iuzwe na kibao cha kutangaza kuuzwa kwa nyumba hiyo wanategemea kukiweka kesho. Amechanganyikiwa akataka kujiua kwa sababu pia yeye ni single maza anategemewa na watoto wake. Nimemwomba asijiue nijaribu kumtafutia suluhisho la shida yake.
Nimekuja kwenu wakuu kama kuna namna ya kumsaidia huyu dada ili apate haki yake. Karibuni
Mkuu hili deni ni TSh au ni usd dollars????Kuna dada ameniambia nyumba yake ipo mbioni kuuzwa baada ya kukopa hela kausha damu na baadaye akapata shida ya kuuguliwa na mtoto akashindwa kurejesha marejesho kwa wakati kampuni ikamtaka atoke nyumbani kwake ili nyumba iuzwe na kibao cha kutangaza kuuzwa kwa nyumba hiyo wanategemea kukiweka kesho. Amechanganyikiwa akataka kujiua kwa sababu pia yeye ni single maza anategemewa na watoto wake. Nimemwomba asijiue nijaribu kumtafutia suluhisho la shida yake.
Nimekuja kwenu wakuu kama kuna namna ya kumsaidia huyu dada ili apate haki yake. Karibuni
Lipa wewe hiyo hela anza kula tunda! 96 tu huna ? Hadi upige kelele humu?Kuna dada ameniambia nyumba yake ipo mbioni kuuzwa baada ya kukopa hela kausha damu na baadaye akapata shida ya kuuguliwa na mtoto akashindwa kurejesha marejesho kwa wakati kampuni ikamtaka atoke nyumbani kwake ili nyumba iuzwe na kibao cha kutangaza kuuzwa kwa nyumba hiyo wanategemea kukiweka kesho. Amechanganyikiwa akataka kujiua kwa sababu pia yeye ni single maza anategemewa na watoto wake. Nimemwomba asijiue nijaribu kumtafutia suluhisho la shida yake.
Nimekuja kwenu wakuu kama kuna namna ya kumsaidia huyu dada ili apate haki yake. Karibuni
USD? Duh! Bora hata ungesema Ksh.Mkuu hili deni ni TSh au ni usd dollars????
Mkuu, nimemkuta huyo dada katika hali ya huzuni na akiwaza kujiua kutokana na hayo yote kama nilivyoyaeleza hapo juu, sijajua alivyokopa alipewa masharti gani wala dhamana, mimi nilileta kwenu ili kutafuta namna ya kumsaidia kisheria ili apate haki yakemkopo wa 96,000 dhamani ni nyumba au sio mwanetu...fresh tu
endelea kutupanga