Mpe hongera kwa kufaulu ikiwezekana vizawadi apewe vimmotivate..... Honestly anaweza pata shule ya vipaji ndiyo maana ufaulu unaruhusu ila pia inategemea na matokeo ya safari hii idadi ya waliofaulu zaidi ya your uncle ipoje....but on my side yes atapata shule ya vipaji.........Hi jf,
Katika matokeo ya mtihani wa darasa la saba yaliyotangazwa juzi, kuna Mjomba yangu kapata wastani wa A", akiwa na A" ya hesabu na ya kiswahili na masomo matatu akiwa na B".
Sijajua shule za vipaji maalumu huwa wanachukua ufaulu wa kuanzia ngapi hadi ngapi!
Nadhani kuna wadau humu jukwaani ni wajuvi wa hili.
Msaada wenu tafadhali.
Ahsante, yuko vizuri aisee hesabuMpe hongera kwa kufaulu ikiwezekana vizawadi apewe vimmotivate..... Honestly anaweza pata shule ya vipaji ndiyo maana ufaulu unaruhusu ila pia inategemea na matokeo ya safari hii idadi ya waliofaulu zaidi ya your uncle ipoje....but on my side yes atapata shule ya vipaji.........
Ila my take shule za vipaji nyingine wala hawako serious sana kuangalia Maisha ya watoto wawapo shuleni so inakuwa too risky kumpeleka maana anaweza akadrop sababu ya kukosa walimu bora zaidi na uangalizi wa karibu...... So endapo atapata shule ya kipaji inabidi utafiti vizuri Marsha kiujumla na performance ya shule miaka ya karibuni ili mtoto akafanye vizuri zaidi
Taja shule moja.Vipo mzee
Vipaji mpk A Zote hlf hayo matokeo ni ya kawaida sanaAlitakiwa awe na ngapi?
Labda apate A zote afu atoke government schoolsMoods naomba peleka uzi huu jukwaa la elimu
[emoji2][emoji2]Mtoto wa Dada yangu ana A zote vipindi vyoteee shule yao ya kwanza kiwilaya, ni ya pili.kimkoa ,pia shule yao ni ya 13 kitaifa. Darasa zima kuna B 8 zilizobaki zote A
Huyo wako.kafaulu kawaida mkuu.