Msaada: Anaweza akapata nafasi ya shule za vipaji maalumu?

Msaada: Anaweza akapata nafasi ya shule za vipaji maalumu?

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
4,174
Reaction score
5,658
Hi jf,

Katika matokeo ya mtihani wa darasa la saba yaliyotangazwa juzi, kuna Mjomba yangu kapata wastani wa A", akiwa na A" ya hesabu na ya kiswahili na masomo matatu akiwa na B".

Sijajua shule za vipaji maalumu huwa wanachukua ufaulu wa kuanzia ngapi hadi ngapi!

Nadhani kuna wadau humu jukwaani ni wajuvi wa hili.

Msaada wenu tafadhali.
 
Mpe hongera kwa kufaulu ikiwezekana vizawadi apewe vimmotivate..... Honestly anaweza pata shule ya vipaji ndiyo maana ufaulu unaruhusu ila pia inategemea na matokeo ya safari hii idadi ya waliofaulu zaidi ya your uncle ipoje....but on my side yes atapata shule ya vipaji.........

Ila my take shule za vipaji nyingine wala hawako serious sana kuangalia Maisha ya watoto wawapo shuleni so inakuwa too risky kumpeleka maana anaweza akadrop sababu ya kukosa walimu bora zaidi na uangalizi wa karibu...... So endapo atapata shule ya kipaji inabidi utafiti vizuri Marsha kiujumla na performance ya shule miaka ya karibuni ili mtoto akafanye vizuri zaidi
 
Pia mkuu waombe Mod wapeleke hii thread jukwaa la Elimu kule ukutane na walimu..
 
Mpe hongera kwa kufaulu ikiwezekana vizawadi apewe vimmotivate..... Honestly anaweza pata shule ya vipaji ndiyo maana ufaulu unaruhusu ila pia inategemea na matokeo ya safari hii idadi ya waliofaulu zaidi ya your uncle ipoje....but on my side yes atapata shule ya vipaji.........

Ila my take shule za vipaji nyingine wala hawako serious sana kuangalia Maisha ya watoto wawapo shuleni so inakuwa too risky kumpeleka maana anaweza akadrop sababu ya kukosa walimu bora zaidi na uangalizi wa karibu...... So endapo atapata shule ya kipaji inabidi utafiti vizuri Marsha kiujumla na performance ya shule miaka ya karibuni ili mtoto akafanye vizuri zaidi
Ahsante, yuko vizuri aisee hesabu
 
Moods naomba peleka uzi huu jukwaa la elimu
 
Kwa ufaulu huo ni vigumu kupata vipaji, lakini mpongeze amejitahidi.
 
vipaji maalum mpaka apate A zote tena A zile kali za 49/50 au 48/50 kwa mfano apate jumla ya masomo 5 kama 247/250 au 248/250 vinginevyo atapata shule za kata
 
matokeo yanatolewa kwa A,B,C,D ila necta kuna hadi maksi alizopata sasa ili apangiwe shule maalum jumla ya maksi zalima ziwe juu yaani 245/250 hapo kapiga kwa mfano masomo 5 yote A za 49,49,49,49,49=245/250 au 98/98/98/98/98 = 490/500
 
Nadhani ingependeza umtafutie shule binafsi, zipo nyingi na nzuri kuliko hizo special schools, hasa kwa ngazi ya o-level, ingekuwa advance sawa sababu anakuwa amejitambua zaidi,
Na kwa ufaulu wake usitegemee kabisa huko, hilo wazo ondoa, sababu amefaulu kwa kawaida sana, shule ni chache na waliofaulu zaidi yake ni wengi sana.
 
Mtoto wa Dada yangu ana A zote vipindi vyoteee shule yao ya kwanza kiwilaya, ni ya pili.kimkoa ,pia shule yao ni ya 13 kitaifa. Darasa zima kuna B 8 zilizobaki zote A
Huyo wako.kafaulu kawaida mkuu.
[emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom