dimaa
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 4,174
- 5,658
Hi jf,
Katika matokeo ya mtihani wa darasa la saba yaliyotangazwa juzi, kuna Mjomba yangu kapata wastani wa A", akiwa na A" ya hesabu na ya kiswahili na masomo matatu akiwa na B".
Sijajua shule za vipaji maalumu huwa wanachukua ufaulu wa kuanzia ngapi hadi ngapi!
Nadhani kuna wadau humu jukwaani ni wajuvi wa hili.
Msaada wenu tafadhali.