Mmeanza kutambiana[emoji23][emoji23][emoji23] wakati huohuo mnawapondea waliozalisha hizo A'sMtoto wa Dada yangu ana A zote vipindi vyoteee shule yao ya kwanza kiwilaya, ni ya pili.kimkoa ,pia shule yao ni ya 13 kitaifa. Darasa zima kuna B 8 zilizobaki zote A
Huyo wako.kafaulu kawaida mkuu.
😀😀😀😀Mmeanza kutambiana[emoji23][emoji23][emoji23] wakati huohuo mnawapondea waliozalisha hizo A's
Shukrani sanamatokeo yanatolewa kwa A,B,C,D ila necta kuna hadi maksi alizopata sasa ili apangiwe shule maalum jumla ya maksi zalima ziwe juu yaani 245/250 hapo kapiga kwa mfano masomo 5 yote A za 49,49,49,49,49=245/250 au 98/98/98/98/98 = 490/500
SawaNadhani ingependeza umtafutie shule binafsi, zipo nyingi na nzuri kuliko hizo special schools, hasa kwa ngazi ya o-level, ingekuwa advance sawa sababu anakuwa amejitambua zaidi,
Na kwa ufaulu wake usitegemee kabisa huko, hilo wazo ondoa, sababu amefaulu kwa kawaida sana, shule ni chache na waliofaulu zaidi yake ni wengi sana.
Neno vipaji maalum lilitumika na serikalki kwa lengo maalum sasa hivi ni shule za wanafunzi wenye ufaulu mkubwa. Ingawa bado watu wanasema ni vipaji maalumIlboru na mzumbe
Katokea shule ya serikaliInategemea na shule aliyomalizia darasa la saba. Kama ni shule binafsi, basi ni obvious ngumu kupata, lakini kama ni ya serikali, badi uwezekano upo wa yeye kupata.
Kwa nijuavyo mimi, shule za vipaji, mfano zile za tech, TangaTech, MoshTech n.k, huwa wanachukua kama jumla ya maksi ni zaidi ya 205.
Na ili upate hivyo, basi ni dhahiri lazima uwe na wastani wa A, haijalishi masomo mengine umwpata A au B.
Mimi darasa la saba nilipata AAABB, ilyotengeneza jumla ya maksi 209 na nilipelekwa kusoma TangaTech o-level
Nini tofauti ya kipaji na ufaulu mkumbwa?, nadhani ili ufaulu uwe mkubwa lazima uwe na kipaji.Neno vipaji maalum lilitumika na serikalki kwa lengo maalum sasa hivi ni shule za wanafunzi wenye ufaulu mkubwa. Ingawa bado watu wanasema ni vipaji maalum
Ufaulu mkubwa huenda ni kipaji maalum.Nini tofauti ya kipaji na ufaulu mkumbwa?, nadhani ili ufaulu uwe mkubwa lazima uwe na kipaji.
Uwezekano wa kupata shule hizo upo, japokuwa ikitokea vinginevyo wala usishangae!Katokea shule ya serikali
ProbablyKwahiyo wakwako atapata?
Hayo mbona matokeo ya kawaida saana Boss? Hawezi kupelekwa vipaji huyoHi jf,
Katika matokeo ya mtihani wa darasa la saba yaliyotangazwa juzi, kuna Mjomba yangu kapata wastani wa A", akiwa na A" ya hesabu na ya kiswahili na masomo matatu akiwa na B".
Sijajua shule za vipaji maalumu huwa wanachukua ufaulu wa kuanzia ngapi hadi ngapi!
Nadhani kuna wadau humu jukwaani ni wajuvi wa hili.
Msaada wenu tafadhali.
Sasa mkuu Tanga Tech ni shule ya vipaji? Harafu angalia na variation ya miaka mkuuInategemea na shule aliyomalizia darasa la saba. Kama ni shule binafsi, basi ni obvious ngumu kupata, lakini kama ni ya serikali, badi uwezekano upo wa yeye kupata.
Kwa nijuavyo mimi, shule za vipaji, mfano zile za tech, TangaTech, MoshTech n.k, huwa wanachukua kama jumla ya maksi ni zaidi ya 205.
Na ili upate hivyo, basi ni dhahiri lazima uwe na wastani wa A, haijalishi masomo mengine umwpata A au B.
Mimi darasa la saba nilipata AAABB, ilyotengeneza jumla ya maksi 209 na nilipelekwa kusoma TangaTech o-level
Kwani huyo mpwa wako historia yake darasani ilikuwaje?Hata ivi katoka shule za government
Tech Schools, na zile zinazoitwa za vipaji maalumu, zote kwa ujumla ni Special Schools!Sasa mkuu Tanga Tech ni shule ya vipaji? Harafu angalia na variation ya miaka mkuu