Msaada: Anaweza akapata nafasi ya shule za vipaji maalumu?

Mtoto wa Dada yangu ana A zote vipindi vyoteee shule yao ya kwanza kiwilaya, ni ya pili.kimkoa ,pia shule yao ni ya 13 kitaifa. Darasa zima kuna B 8 zilizobaki zote A
Huyo wako.kafaulu kawaida mkuu.
Mmeanza kutambiana[emoji23][emoji23][emoji23] wakati huohuo mnawapondea waliozalisha hizo A's
 
Inategemea na shule aliyomalizia darasa la saba. Kama ni shule binafsi, basi ni obvious ngumu kupata, lakini kama ni ya serikali, badi uwezekano upo wa yeye kupata.

Kwa nijuavyo mimi, shule za vipaji, mfano zile za tech, TangaTech, MoshTech n.k, huwa wanachukua kama jumla ya maksi ni zaidi ya 205.

Na ili upate hivyo, basi ni dhahiri lazima uwe na wastani wa A, haijalishi masomo mengine umwpata A au B.

Mimi darasa la saba nilipata AAABB, ilyotengeneza jumla ya maksi 209 na nilipelekwa kusoma TangaTech o-level
 
matokeo yanatolewa kwa A,B,C,D ila necta kuna hadi maksi alizopata sasa ili apangiwe shule maalum jumla ya maksi zalima ziwe juu yaani 245/250 hapo kapiga kwa mfano masomo 5 yote A za 49,49,49,49,49=245/250 au 98/98/98/98/98 = 490/500
Shukrani sana
 
Nadhani ingependeza umtafutie shule binafsi, zipo nyingi na nzuri kuliko hizo special schools, hasa kwa ngazi ya o-level, ingekuwa advance sawa sababu anakuwa amejitambua zaidi,
Na kwa ufaulu wake usitegemee kabisa huko, hilo wazo ondoa, sababu amefaulu kwa kawaida sana, shule ni chache na waliofaulu zaidi yake ni wengi sana.
Sawa
 
Ilboru na mzumbe
Neno vipaji maalum lilitumika na serikalki kwa lengo maalum sasa hivi ni shule za wanafunzi wenye ufaulu mkubwa. Ingawa bado watu wanasema ni vipaji maalum
 
Mtoto wa Dada yangu ana A zote vipindi vyoteee shule yao ya kwanza kiwilaya, ni ya pili.kimkoa ,pia shule yao ni ya 13 kitaifa. Darasa zima kuna B 8 zilizobaki zote A
Huyo wako.kafaulu kawaida mkuu.
Kwahiyo wakwako atapata?
 
Inategemea na shule aliyomalizia darasa la saba. Kama ni shule binafsi, basi ni obvious ngumu kupata, lakini kama ni ya serikali, badi uwezekano upo wa yeye kupata.

Kwa nijuavyo mimi, shule za vipaji, mfano zile za tech, TangaTech, MoshTech n.k, huwa wanachukua kama jumla ya maksi ni zaidi ya 205.

Na ili upate hivyo, basi ni dhahiri lazima uwe na wastani wa A, haijalishi masomo mengine umwpata A au B.

Mimi darasa la saba nilipata AAABB, ilyotengeneza jumla ya maksi 209 na nilipelekwa kusoma TangaTech o-level
Katokea shule ya serikali
 
Neno vipaji maalum lilitumika na serikalki kwa lengo maalum sasa hivi ni shule za wanafunzi wenye ufaulu mkubwa. Ingawa bado watu wanasema ni vipaji maalum
Nini tofauti ya kipaji na ufaulu mkumbwa?, nadhani ili ufaulu uwe mkubwa lazima uwe na kipaji.
 
Ufaulu mkubwa huenda ni kipaji maalum.
Lakini matumizi ya hizo shule zamani na sasa ni tofauti.
 
Katokea shule ya serikali
Uwezekano wa kupata shule hizo upo, japokuwa ikitokea vinginevyo wala usishangae!

Binafsi huchukulia kwamba, wakati mwingine kuchaguliwa shule hizo ni bahati ya mtu!!
 
Hi jf,

Katika matokeo ya mtihani wa darasa la saba yaliyotangazwa juzi, kuna Mjomba yangu kapata wastani wa A", akiwa na A" ya hesabu na ya kiswahili na masomo matatu akiwa na B".

Sijajua shule za vipaji maalumu huwa wanachukua ufaulu wa kuanzia ngapi hadi ngapi!

Nadhani kuna wadau humu jukwaani ni wajuvi wa hili.

Msaada wenu tafadhali.
Hayo mbona matokeo ya kawaida saana Boss? Hawezi kupelekwa vipaji huyo
 
Inategemea na shule aliyomalizia darasa la saba. Kama ni shule binafsi, basi ni obvious ngumu kupata, lakini kama ni ya serikali, badi uwezekano upo wa yeye kupata.

Kwa nijuavyo mimi, shule za vipaji, mfano zile za tech, TangaTech, MoshTech n.k, huwa wanachukua kama jumla ya maksi ni zaidi ya 205.

Na ili upate hivyo, basi ni dhahiri lazima uwe na wastani wa A, haijalishi masomo mengine umwpata A au B.

Mimi darasa la saba nilipata AAABB, ilyotengeneza jumla ya maksi 209 na nilipelekwa kusoma TangaTech o-level
Sasa mkuu Tanga Tech ni shule ya vipaji? Harafu angalia na variation ya miaka mkuu
 
Hongera kwa kupata average ya A.

Lakini kumbuka kuwa waliopata average ya A ni wengi saana. Na nafasi ya shule maalum ' vipaji' ni chache saaana.

Hivyo inategemea katika wilaya yao waliopata hizo alama ni wangapi maana nafasi za vipaji zinagawana kiwilaya.

Kama labda wilaya au halmashauri imepewa nafasi 10. Na amekuwa among 10 best atachaguliwa....

I hope umenielewa
 
Back
Top Bottom