Inategemea na shule aliyomalizia darasa la saba. Kama ni shule binafsi, basi ni obvious ngumu kupata, lakini kama ni ya serikali, badi uwezekano upo wa yeye kupata.
Kwa nijuavyo mimi, shule za vipaji, mfano zile za tech, TangaTech, MoshTech n.k, huwa wanachukua kama jumla ya maksi ni zaidi ya 205.
Na ili upate hivyo, basi ni dhahiri lazima uwe na wastani wa A, haijalishi masomo mengine umwpata A au B.
Mimi darasa la saba nilipata AAABB, ilyotengeneza jumla ya maksi 209 na nilipelekwa kusoma TangaTech o-level