Msaada anayeweza track simu kujua iko wapi

Imeibiwa? Maana gharama ya kuitafuta inaweza kuzidi thamani ya simu na ukaishiwa kupigwa tu fedha zako.
nataka kujua tu ilipo maan imepotea ndani kulikua kuna watu ila wanakataa the thing I want niwa show hata kwa location kwamb simu kuna mtu kati yenu amechukua ni hivo tu kisha nita deal now natak evidence tu maan wanajifany wananisaidia kutafuta kinafiki
 
Ukipiga inaita?
 
Unakumbuka email yako?
 
Hili litawezekana kama simu yako uli-activate kujua location yake. Na pia huyo aliyeichukuwa aiwashe na asiwe amei-flush. Hivyo vi-tecno ku-flush si sekunde tu? Iphone ndiyo simu nzuri kwani anayeiba labda auze kama spare. Au kama ni IMEA namba uwe unazijua japo hii njia kwa mtu wa kawaida ni ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…