Msaada anayeweza track simu kujua iko wapi

Msaada anayeweza track simu kujua iko wapi

nataka kujua tu ilipo maan imepotea ndani kulikua kuna watu ila wanakataa the thing I want niwa show hata kwa location kwamb simu kuna mtu kati yenu amechukua ni hivo tu kisha nita deal now natak evidence tu maan wanajifany wananisaidia kutafuta kinafiki
Kama hajazimwa click find my device Kisha ipige itaita
 
Back
Top Bottom