MSAADA: Anwani ya Msajili wa Vyama vya Siasa

MSAADA: Anwani ya Msajili wa Vyama vya Siasa

Brightg

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
372
Reaction score
662
Wanajamvi, tumejaribu kupiga simu zilizoainishwa kwenye tovuti ya Msajili wa vyama vya siasa hazipatikani, tumeandika email hazijibiwi, tafadhali tunaomba mwenye kufahamu ofisi ilipo kama Dodoma au Dar na eneo husika atusaidie pia kama unazo namba za simu mtusaidie. Tunahitaji huduma kutoka kwa Msajili wa vyama tupo mkoani Arusha.

Ahsanteni
 
Nakushauri uende "physically" ofisini kwake. Nasikia wana bajeti ya chai na chapati kwa wageni siku hizi.
 
Back
Top Bottom