MSAADA: Baada ya kutumia dawa ya Pregabalin(ligaba), natokwa na mate Kama manyunyu napozungumza na watu, nifanyeje?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Sijui hata nifanyeje?
Nilipata tatizo la ganzi mwilini, nikatumia vodonge vya Pregabalin miezi minne. Sasa kila nikiongea na watu nawarushia mate Kama manyunyu yanapuliza.

Sasa watu hunikwepa au kuweka mikono usoni na mdomoni kwa tahadhari. Sikuwa na hili tatizo kabla.

Je nifanye nini? Tatizo litaisha?
 
Huyo Daktari wako aliyeku-prescribe anasemaje?
 
Tumia chai ya mzaituni na karafuu vijiko viwili vya chai kila kiungo changanya na asali asbh na jioni. Tumia mpaka pale tatizo litakapokuwa resolved totally completely.
 
Sijui hata nifanyeje?
Nilipata tatizo la ganzi mwilini, nikatumia vodonge vya Pregabalin miezi minne. Sasa kila nikiongea na watu nawarushia mate Kama manyunyu yanapuliza.

Sasa watu hunikwepa au kuweka mikono usoni na mdomoni kwa tahadhari. Sikuwa na hili tatizo kabla.

Je nifanye nini? Tatizo litaisha?
Habari!
Hii ni side effect ya Pregabaline
1: Mdomo kukauka
2: Ku-relax misuli hata ya ulimi

Kutokaa na hayo hapo juu, uwezo wa kutamka au kuongea huitaji juhudi fulani. Matokeo yake control ya ulimi inakuwa siyo nzuri sana, madhira ni mate kukuponyoka.

Huwa inaisha unapositisha matumizi ya dawa, pia unaweza kuwasilina na daktari ili kuona kama anawrza kupunguza kiasi cha dawa kulingana na tatizo.
 
Mkuu nimemaliza dawa mwaka umepita Sasa, Ila side effect ndiyo hiyo, mate kutoka na kuruka niongeapo.
 
Nadhani kunaweza kuwa na sababu nyingine ambayo inasababisha na pregabaline kuwa co-incidance.

Kwani athari za Pregabaline huwa zinaisha ndani ya wiki moja mpaka mbili hivi.

Ni vyema kufika kwa wataalamu wa kinywa na meno kuona kama kutakuwa na shida nyingine maana bafo sababu nyingine nyingi zipo.
Tatizo ni hypersalivation.
 
Nitajitahidi nirudi hospital kwa wataalam
 
Back
Top Bottom