Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Sijui hata nifanyeje?
Nilipata tatizo la ganzi mwilini, nikatumia vodonge vya Pregabalin miezi minne. Sasa kila nikiongea na watu nawarushia mate Kama manyunyu yanapuliza.
Sasa watu hunikwepa au kuweka mikono usoni na mdomoni kwa tahadhari. Sikuwa na hili tatizo kabla.
Je nifanye nini? Tatizo litaisha?