Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Ile yahitaji moyo kuvaa kila saaVaa barakoa
Hata nami ghafla nikawa nimeliwaza hili Mkuu.Vaa barakoa
Sina ugwadu, tatizo limeletwa na matumizi ya dawaTafuta Malimao Ama Embe Mbichi Uchachue Midomo Mate Hayo Ni Ugwadu
AsantePole sana ndugu
Sawa ntafanya hivyo, nkisimamishwa mbele za watu, naona wote wakiziba midomo na kukonyezana. Sipendi kabisa hali hii.Hata nami ghafla nikawa nimeliwaza hili Mkuu.
Huku akiwa bado anatafuta namna ya kutatua tatizo ili kuepusha adha kwa watu.
Sina mawasiliano yakeHuyo Daktari wako aliyeku-prescribe anasemaje?
Pole sana Mkuu.Sawa ntafanya hivyo, nkisimamishwa mbele za watu, naona wote wakiziba midomo na kukonyezana. Sipendi kabisa hali hii.
Ok, assnteTumia chai ya mzaituni na karafuu vijiko viwili vya chai kila kiungo changanya na asali asbh na jioni. Tumia mpaka pale tatizo litakapokuwa resolved totally completely.
Asante sanaPole sana Mkuu.
Habari!Sijui hata nifanyeje?
Nilipata tatizo la ganzi mwilini, nikatumia vodonge vya Pregabalin miezi minne. Sasa kila nikiongea na watu nawarushia mate Kama manyunyu yanapuliza.
Sasa watu hunikwepa au kuweka mikono usoni na mdomoni kwa tahadhari. Sikuwa na hili tatizo kabla.
Je nifanye nini? Tatizo litaisha?
Mkuu nimemaliza dawa mwaka umepita Sasa, Ila side effect ndiyo hiyo, mate kutoka na kuruka niongeapo.Habari!
Hii ni side effect ya Pregabaline
1: Mdomo kukauka
2: Ku-relax misuli hata ya ulimi
Kutokaa na hayo hapo juu, uwezo wa kutamka au kuongea huitaji juhudi fulani. Matokeo yake control ya ulimi inakuwa siyo nzuri sana, madhira ni mate kukuponyoka.
Huwa inaisha unapositisha matumizi ya dawa, pia unaweza kuwasilina na daktari ili kuona kama anawrza kupunguza kiasi cha dawa kulingana na tatizo.
Nadhani kunaweza kuwa na sababu nyingine ambayo inasababisha na pregabaline kuwa co-incidance.Mkuu nimemaliza dawa mwaka umepita Sasa, Ila side effect ndiyo hiyo, mate kutoka na kuruka niongeapo.
Nitajitahidi nirudi hospital kwa wataalamNadhani kunaweza kuwa na sababu nyingine ambayo inasababisha na pregabaline kuwa co-incidance.
Kwani athari za Pregabaline huwa zinaisha ndani ya wiki moja mpaka mbili hivi.
Ni vyema kufika kwa wataalamu wa kinywa na meno kuona kama kutakuwa na shida nyingine maana bafo sababu nyingine nyingi zipo.
Tatizo ni hypersalivation.