Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Mkuu,
Kwanza, pole kwa hali unayopitia.
Pili, dalili ulizojiwekea pia husababishwa na stress hasa Kwa mawazo hasi ya kujidhania umeambukizwa. Hii ni kutokana na ukweli kuwa, unawachukia au kuwanyanyapaa wenye ugonjwa huo.
Sasa akili yako inajirudi kudhani kuwa hata wewe unaweza kuwa muathirika.
Hivyo, dalili hizo hazina msingi wowote juu ya swala la kuambukizwa ama la.
Tatu, kupima ni hiari. Hupaswi kumlazimisha mtu apime. Kuna exception kadhaa zinazolazimisha. Mama wajawazito,wagonjwa na wanaolazimika kuonyesha majibu kwa mustakabali wa majukumu.
Hivyo, hupaswi kumlazimisha mwenzako kupima kwa nguvu.
Nne, kwa sasa relax. Hakuna kipimo kitakachodetect kwa usahihi uwepo wa virusi. Subiri mpaka muda ulioshauriwa kisha utaenda kujihakikishia. Acha wenge.
Tano, hupaswi kuegemea katika majibu ya mwenzako. Anaweza kuwa tayari ameambukizwa, wewe ukawa salama.
Unaweza kwenda na ukakuta anao, ukajifanyia ukatili wa kutisha. Kumbe hata huna. Vuta subra Mkuu.
Sita, wakati mwingine chukua tahadhari sana. Usiuogope UKIMWI tu, kuna magonjwa mengi yenye kuogofya.