political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
- Thread starter
- #61
Pamoja mkuu alichozidi kunivuruga ni kukataa kwenda kupima alafu miezi 6 iliyopita alikuwa MBEYA yani ndio kazidi kunivuruga [emoji17][emoji17]Wewe jamaa kwanza ni muoga sijawai ona mimi hizo situations nishakutana nazo zaidi ya mara tatu na kuna doctor alinambia uoga huwa unafanya mwili ureact vile unavyofikiria wewe ila mwisho wa siku hauna ugonjwa hiyo ni hali ya kawaida hata mimi nimepitia zaidi ya mara tatu ila sio kwa kiwango chako cha stress ila cha kukushauri kwa ulivyo muoga usipige peku wewe au uwe unapima before kupiga maana wewe unaeza kufa kwa mawazo kabla ya HIV yenyewe haijakuua