Msaada baada ya kuuza mechi nimekuwa mtu wa kuhisi nimeambukizwa UKIMWI

Wiki 2 na siku 5 zilizopita nimetoka kuuza mechi( yani kupiga kavu) na demu ambae tunajuana kwa muda mrefu.. balaa likaja baada ya kupita wiki 1 na siku kazaa nilipata mafua makali lakini yakakata baada ya siku 2.

Siku niliyopata mafua nimelala ghafla tu usiku mawazo yakaja kuwa yule demu atakuwa amekuambukiza ukimwi. Nikaanza kuwa mtu wa mawazo nikaamua ku google dalili za mwanzo za ukimwi lohh karibu 3 au 4 ninazo mwili kukosa nguvu, magoti kuchoka, koo kuuma kama maumivu ya matonsil, pamoja na vipele vidogo vidogo kutoka mgongoni.

Wakuu napata mawazo mpaka kichwa upande wa kisogoni kunawaka moto.. nikaanza kuvurugwa na kuanza kumtumia demu meseji za ajabu kama vile "" kwanini umenifanyia hivi si ungesema tu kuliko kuniua demu aka react na kuniuliza kuwa anielewi ninachomaanisha nikamchana live kuwa kaniambukiza ukimwi.

Nikamwambia kama kweli unajiona uko salama twende tukapime dohhh alikataa kata kata na mimi ndio nikazidi kudata kwa mawazo nimembeleza tukapime wapi.. Nikajipa tiki tu direct kuwa mimi tayari ni muathirika, baada ya kufika wiki 2 nikaenda kupima mwenyewe kwakuwa nilishajikatia tamaa sikuwa naogopa kabisa.

Nilipimwa na kukutwa Negative nikaambiwa nipime tena baada ya miezi sita kidogo nikawa na furaha lakini baada ya muda yakaja mawazo mengine vijidudu ni ngumu kuonekana baada ya wiki 2 nikaanza upya mawazo..nikaenda kupima tena sehemu nyingine majibu yakawa yale yale mpaka nikaanza kubishana na mpimaji na kuanza kumuelezea dalili zangu akaniambia nirudi tena baada ya miezi mitatu..

Ikafika hatua nikatamani nitafute mganga amroge. Yule demu ili nikimwambia tukapime basi asikatae...Najua kuna wataalamu wa afya hapa JF naombeni msaada wenu kwa hili ninalopitia.

Thanks
Sasa bwana mdogo , vidonge vya Pep vipo na sasa vimezagaa bado ukashindwa kuvitafuta uiponye nafsi ?

Anyway siku nyingine jitahid kuwahi vidonge mapema , ila kwasasa itoshe kukuambia huna UKIMWI sitaki kukueleza kiundani maana ushajikatia tamaa ila jua uko sawa , punguza mawazo .

Huyo demu wako umemkosea sana muombe msamaha
 
Mkuu nimekuelewa nilipagawa kupitiliza yani sikujua nini cha kufanya.
 
Dahhh we jamaa muoga sana Aisee, yani unaogopa hivo ukimwi miaka hii ya watu kuishi na ukimwi ni Amani kuliko Sukari

Hofu yako ndio itakupa ukimwi trust me, maana unalazimisha uonekane unayo, we ilitakiwa baada ya kupima na kukutwa huna ujione Mshindi

We umekula mara moja tu Wenge kama lote, kupata ukimwi nayo waga ni kama bahati, yani hadi ubahatike ndio unapata ukimwi

Nakupa short story kuhusu Mie, wakati bado nipo chuo nimerudi likizo home, nikakuta mtaani kuna sister moja hivi Kali balaa, linafanya kazi uhamiaji

Lile manzi likawa na ushikaji na sister yangu kwahiyo wakawa wanaukaribu, wanatoka out namie naalikwa naibuka nao kuwapa kampani, Kwenye live band and so on

Kutokana na uzuri wake na standard zake jamaa wakawa wanaiogopa hivo nahisi ule upweke wake plus upwiru likajikuta linaangukia Kwangu

Nikawa nakula almost kila siku, kuna muda hadi usiku wa manane demu linanipigia simu linataka tumit, linakuja na Ndinga me natoka nazama ndani tunasepa

Kumbe huo muda manzi alikuwa na Mimba, me nilikuwa nashangaa huyu manzi hedhi anaingiaga lini mbona karibia kila week me naweka

Sasa muda ukafika nikarudi zangu chuo, wakati nipo huko ndo sister akanambia kuwa Fulani ujue ni mjamzito ila sio Mimba yako maana ulimkuta nayo, ndo nikajua ohhh kumbe ndomana sikuwahi kuskia yupo hedhi

Ehhhhh, mara ghafra siku moja sister ananipigia sana simu me Niko pindi sikupokea nikaweka na silent nikatia simu kwenye bag, nimekuja kutoka nakuta missed call kama 20 hivi

Mhhh nikashtuka sana, basi nikampigia ohhhh wacha apokee huku analia hadi kwikwi, ananiambia Fulani amejifungua ahhh me nikajua labda mtoto kafariki, ananiambia ila wakati anajifungua ndio amejua kuwa Ameathirika

Kwahiyo amechanganyikiwa maana anajua namie nimeungua, ikabidi nimdanganye nikamwambia hapa chuo me nipo kwenye club ya wachangia DAMU, kila baada ya muda Fulani tunapima na nimetoka kupima mwezi uliopita Tu

Katika harakati za kumtafuta yule manzi nimpe hongera akawa hapokei simu zangu wala hajibu SMS, hadi alipokuja kunitafuta yeye mwenyewe na kuniomba sana samahani, alafu cha ajabu akakutana namie Niko fresh tu hadi akawa anashangaa

Kipindi hicho nimekuwa mfuasi wa jamaa mmoja hivi humu JF anajiita Deception, alikuwa ameanzisha Uzi wa kupinga uwepo wa virus wanaosababisha ukimwi, Uzi ulikuwa mkubwa sana kipindi hicho, kutokana na Nondo za jamaa nikawa naamini kuwa ukimwi kama tafsiri ya upungufu wa kinga mwilini, na sio Kwa sababu ya HIV virus

Kwahiyo ile habari ya manzi kuungua imekuja kipindi ambacho psychological Niko vizuri sana, wala sikuteteleka na hizo issue ila ndugu zangu ndio walikuwa na hofu sana, na sikuwahi kupima hadi nilipokuja kupima mwaka huu tena Kwa sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wangu na nikakutwa Negative

Sasa kwa uoga wako kijana, ungekutwa kwenye scenario kama yangu ambayo unakuwa na uhakika kabisa kuwa uliekula ameungua sijui ingekuaje, hapo tu huna uhakika kama kaungua ila Una wenge ni balaa
[emoji1666]
 
Hii condition sijui inaitwaje kitaalamu kuna wadau apa JF wametoa visa vyao nao kama iki cha kwangu.
 
Broo umenigusa sana sana iyo hali iliwai nipata nililala na dem akanip pombe nikajikuta napiga bao moja kavu akili ikanirud nikapig mawil na kinga lakin sikuwez ku judge chochote badae huyo dem akachukua simu yangu kuingia fb akasahau ku log out mzee si nikazam dm yake ………. Mzee nakuta kwanz wanaume 20 watano wamemula hadi nyuma wengine wanamusifia ana k tamu sana anajua kuikatikia daah…..

Nilipatwa na msongo wa mawazo nilijua kabisa uyo dem kashaniua maan kuugua ugua kwake ilikuwa kitu cja kawaida nikavuta picha nikaona mimi tayr nishaukwaa mawazo yalinipelekea nikaanza kuugua nikapat vipele nikapat vidonda mdomoni yaani kiujumla mwil wangu uliharibika kiakili pia nilikaa mwisho wa siku nikaamua kwend kupima nikakuta mzim ile hali ikaisha japo imeniachia shida mwilin miship iliharibika sana kumbe mawazo yanaua jamaa angu ogop stress ni stor fup lakin nanayo ndef san. Nime summuriz tu
 
Mkuu mawazo yanaleta magonjwa mengi ya ajabu
 
Pole sana mkuu hii condition ni mbaya sana ..kitu kingine ukisema u Google symptoms ndio unapotea kabisa mawazo ndio yanaanzia apo mimi nilitaka kujiunga mpaka na magroup ya ukimwi so sad hii condition sitaki tena ijirudie ndani ya maisha yangu na namuomba mungu aniepushie na ili gonjwa ...maumivu uliyoyapitia mkuu nayajua[emoji1666]. Namshukuru mungu na membe6wa JF walionipa moyo na wanaoendlea kunipa moyo bila wao ningekuwa kwenye hali ngumu sana now JF imekuwa ndio APP yangu Bora na muhimu kwenye maisha yangu..
 
Dahhh we jamaa muoga sana Aisee, yani unaogopa hivo ukimwi miaka hii ya watu kuishi na ukimwi ni Amani kuliko Sukari

Hofu yako ndio itakupa ukimwi trust me, maana unalazimisha uonekane unayo, we ilitakiwa baada ya kupima na kukutwa huna ujione Mshindi

We umekula mara moja tu Wenge kama lote, kupata ukimwi nayo waga ni kama bahati, yani hadi ubahatike ndio unapata ukimwi

Nakupa short story kuhusu Mie, wakati bado nipo chuo nimerudi likizo home, nikakuta mtaani kuna sister moja hivi Kali balaa, linafanya kazi uhamiaji

Lile manzi likawa na ushikaji na sister yangu kwahiyo wakawa wanaukaribu, wanatoka out namie naalikwa naibuka nao kuwapa kampani, Kwenye live band and so on

Kutokana na uzuri wake na standard zake jamaa wakawa wanaiogopa hivo nahisi ule upweke wake plus upwiru likajikuta linaangukia Kwangu

Nikawa nakula almost kila siku, kuna muda hadi usiku wa manane demu linanipigia simu linataka tumit, linakuja na Ndinga me natoka nazama ndani tunasepa

Kumbe huo muda manzi alikuwa na Mimba, me nilikuwa nashangaa huyu manzi hedhi anaingiaga lini mbona karibia kila week me naweka

Sasa muda ukafika nikarudi zangu chuo, wakati nipo huko ndo sister akanambia kuwa Fulani ujue ni mjamzito ila sio Mimba yako maana ulimkuta nayo, ndo nikajua ohhh kumbe ndomana sikuwahi kuskia yupo hedhi

Ehhhhh, mara ghafra siku moja sister ananipigia sana simu me Niko pindi sikupokea nikaweka na silent nikatia simu kwenye bag, nimekuja kutoka nakuta missed call kama 20 hivi

Mhhh nikashtuka sana, basi nikampigia ohhhh wacha apokee huku analia hadi kwikwi, ananiambia Fulani amejifungua ahhh me nikajua labda mtoto kafariki, ananiambia ila wakati anajifungua ndio amejua kuwa Ameathirika

Kwahiyo amechanganyikiwa maana anajua namie nimeungua, ikabidi nimdanganye nikamwambia hapa chuo me nipo kwenye club ya wachangia DAMU, kila baada ya muda Fulani tunapima na nimetoka kupima mwezi uliopita Tu

Katika harakati za kumtafuta yule manzi nimpe hongera akawa hapokei simu zangu wala hajibu SMS, hadi alipokuja kunitafuta yeye mwenyewe na kuniomba sana samahani, alafu cha ajabu akakutana namie Niko fresh tu hadi akawa anashangaa

Kipindi hicho nimekuwa mfuasi wa jamaa mmoja hivi humu JF anajiita Deception, alikuwa ameanzisha Uzi wa kupinga uwepo wa virus wanaosababisha ukimwi, Uzi ulikuwa mkubwa sana kipindi hicho, kutokana na Nondo za jamaa nikawa naamini kuwa ukimwi kama tafsiri ya upungufu wa kinga mwilini, na sio Kwa sababu ya HIV virus

Kwahiyo ile habari ya manzi kuungua imekuja kipindi ambacho psychological Niko vizuri sana, wala sikuteteleka na hizo issue ila ndugu zangu ndio walikuwa na hofu sana, na sikuwahi kupima hadi nilipokuja kupima mwaka huu tena Kwa sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wangu na nikakutwa Negative

Sasa kwa uoga wako kijana, ungekutwa kwenye scenario kama yangu ambayo unakuwa na uhakika kabisa kuwa uliekula ameungua sijui ingekuaje, hapo tu huna uhakika kama kaungua ila Una wenge ni balaa
Confidence humfanya mtu kushinda odds in Life...

Ofcourse Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI (senior)

Kuna ndugu wa jamaa mmoja alikuja dar so ARVS zake zikawa zimeisha akanicheki am 4 real nimpatie japo chache zakutumia kabla hajarud mkoa.....

Nikaingia kwenye ofs ya rafk angu anipatie izo dozi akanambia am 4 real hizi dozi hata Mimi natumia for sure huwezi mdhania......

Scenerio yake yeye ya kupata Kwa bahati mbaya alijichoma Ile sindano Kwa bahati mbaya alipo kua ana mu attend mgonjwa......Ila aliwai kutumia zile dawa za kujihami.......

So Mungu NDIO mpangaji wa YOTE
 
Duhhh pole yake Aisee

Kuna raia hudhani kila mwenye cheche basi alikuwa Malaya
 
Wenge na wasiwasi hutokea automatic mkuu mpaka unaanza kuiona dunia yote chungu ukifikiria kuishi kwa matumaini wakati member kibao wa JF akiwemo na wewe Antonia mnaishi kwa uhakika[emoji17][emoji17]
Pole sana mkuu kabla ya yote ni vizuri kupima kwanza hata uwe umempendaje hata awe na shepu ipi hata awe mzuri vipi check first!!!

Afya kwanza mengine yapo tu!
 
Back
Top Bottom