Msaada baada ya kuuza mechi nimekuwa mtu wa kuhisi nimeambukizwa UKIMWI

Umri wako tafadhali...! Maana jambo ulilo lifanya ni la kitoto sana, jukumu la kujilinda afya Yako ni lako mwenyewe. Sasa what if ungekutwa umeambukizwa ungemfanyaje huyo Binti wa watu...? Wewe ndio ulimtongoza na NY*ge zako zikakutuma umle peku.

Sijaona kosa lake Hadi utake kujua afya yake. Kwani ulikuwa na mpango wa k​
Umri wako tafadhali...! Maana jambo ulilo lifanya ni la kitoto sana, jukumu la kujilinda afya Yako ni lako mwenyewe. Sasa what if ungekutwa umeambukizwa ungemfanyaje huyo Binti wa watu...? Wewe ndio ulimtongoza na NY*ge zako zikakutuma umle peku.

Sijaona kosa lake Hadi utake kujua afya yake. Kwani ulikuwa na mpango wa kumuoa...?​
Wenge tu mkuu
 
Mimi jana nilienda hospital baada ya kuona sijielewi mwili ulipoanza kukosa nguvu na kuanza kama kupepesuka nilionana na dr akaniandikia vipimo vitatu kimoja cha mkojo vilivyobaki ni vya damu ..nakuja kupewa majibu nikaanza kupata nguvu sehemu ya kupanda boda boda mimi nikatembea kwa miguu kwa furaha niliyokuwa nayo punde si punde njiani ..mawazo yakarudi dr amekudanganya si unaona alivyokuwa anakuangalia kwa huruma kaogopa kukupa majibu yako mawazo yakarudi tena mwili ukaanza kuchoka tena kama mwanzo dahhhh nyie acheni tu..
Kama unaniongelea mm
 
Napitia hichi kipindi ila nilianza kutumia Pep baada ya masaa 36 ambao ndio muda niliompima nikakuta anao na hakuwa akijua kama anao, hapo nilimwita siku iliyofuata ili tukiwashe tena ndio nikapata wazo la kujihakikishia usalama, aisee naomba muda ukimbie nijue status yangu maana ninavokonda kila siku watu wananiuliza nina shida gani
 
Mkuu iyo hali ni hatari asikuambie Mtu mimi nilishaanza kujiunga na magroup ya wenye HIV HIV kwenye facebook yani nilikuwa najiisi ninao..
 
IMG_0991.jpg

Siku nyingine wahi kubwia haya mavitu.
 
Napitia hichi kipindi ila nilianza kutumia Pep baada ya masaa 36 ambao ndio muda niliompima nikakuta anao na hakuwa akijua kama anao, hapo nilimwita siku iliyofuata ili tukiwashe tena ndio nikapata wazo la kujihakikishia usalama, aisee naomba muda ukimbie nijue status yangu maana ninavokonda kila siku watu wananiuliza nina shida gani
Vp mkuu Pep zilikusaidia
 
Back
Top Bottom