Msaada baada ya kuuza mechi nimekuwa mtu wa kuhisi nimeambukizwa UKIMWI

Bora wewe mkuu mimi simu anapokea na kupima hataki ananiambia kuwa yeye ameshapima nikawa nambeleza tukapime ili angalau nipate faraja wapi jibu lake tu kuwa yeye hana maambukizi nyie nyie..kuna mda nakaa mwenyewe nalia[emoji25]
Anaweza kuwa +VE ila akawa on treatment hivyo anakuwa haambukizi ila umeme anao.
 
Kama anatumia dawa kwa usahihi je? Viral road wakawa chini. Akipima akakutwa negative wakati ni +ve ilio jikubali? Utafanyaje?..
Jali afya yako ndugu, fatia utaratibu kama ni kuendelea kusubiri ufanye ya bioline au kama unaweza fanya iko kipimo cha damu, ondoa woga, punguza wasiwasi. 😂
Kwanza kwanini unawaza kuambukizwa? Ulipeleka moto hadi ukachubuka au?"😂😂😂😂😂
HIV ipo ndugu lakin pia kupata/kutopata sio kirahisi ivyo..
Toto zuri lazma alilikamia tu 😁 just imagine toto laini kama mtu fudenge unaanzaje kulivalia helmeti! Unajipa moyo huyu hana bana
 
Nyie si mnatiaga Hadi tangawizi😆😆😆😆emagine yan mtu unapanga kupiga show ya kibabe kushindana na ulipotokea😆😆😆👏👏
 
Vijana mnachekesha lakini pia mnafurahisha sana .
Anyway wewe jamaa huna ngoma kuamini naongea Kama mtu wa afya mwandamizi pia .

Naishi sehemu ambayo Kati ya watu kumi basi name ni waathirika ,ikiwa Kuna mtu wa afya katika huu uzi hasa wale wa CTC atajua ni mkoa gani na Kijiji gani ,hivyo jiamni Nina shuhuda nyingi nikianza kukueleza utahisi nakupanga lakini jua hapo ngwengwe haipo bro .

Usijekujidhuru bure kwa vitu visivyo na maana ,juma lililopita nilikuwa nyumbn nacheza na paka wangu Kuna kajamaa kamenizoea vibaya kutokana na mambo ya mpira hivyo hata kwangu kanakuja muda wowote tofauti na wengine wanavyonichukulia .

Sasa kwenye story na utani wa hapa na pale kakaniambia kuwa Kuna mdada mmoja kamemla usiku wa kuamkia hiyo siku ,bad enough huyo dada Mimi najua fika kaathirika maana Kuna muda anachukua maharagwe kituoni kwangu .

Nikavunga kuwa mbona yule mzima kabisa Ila tufanye nikupe dawa za kujikinga ili hata Kama Kuna la kutolea usipate ,kakagoma nikavunga kimya .

Sasa leo kanapiga simu eti wewe jamaa mbona wshikaji wanasema yule dada kaungua na wewe ulinificha Mimi nikakambia kufanya kazi mochwari sio lazima nijue sura ya kila maiti ,akakata simu .maana sio maadili ya kazi Mimi kuanza kutaja waathirika .

Sasa kakapita nyuma kwa nyuma kakampata kijana mmoja wa job anajitolea akakapima akakakuta kana ngoma japo inaonekana ni kitambi Ila kalikuwa hakajui status yake .

Napigiwa simu Kuna mgonjwa kazimia ghafla tunaomba msaada wako ,naenda nakakuta kashikaji kapo kamezimia ,nauliza scenario naambiwa kalienda kupima kakapimwa kakakutwa imo ,kakazima hapo hapo .

Nikasikitika sana Ila nikajifunza kuwa vijana tunarahisha mambo na pia hatuko serious na kujikinga tunakuwa tunajaribu tu .

Jamani ndugu zangu ugonjwa upo ,wengi wanao ,ningeruhusiwa labda kuwapa data na picha za wahusika ningefanya ili mlio salama mjue HIV/AIDs is real
 
hio ndio most efficient way to grab ududu wa ngomaligo😂
 
Yani unaongea kirahisi tu kuwa jamaa kajikanyagisha moto😂
 
Kaka nilipofikia kwasasa sioni jipya juu hili gonjwa maana Kati ya watu 100 ninaokutana kwa siku basi 99 ni waathirika hivyo naamini kwa nilipo mtu akiwa mpya akaupata najua kapenda maana semina tumefanya sana kuwaelimisha lakini Abdalla kichwa wazi anawazidi akili .

Bro inafika mahali tunapita mpaka kwenye Bar kuwambembeleza mabar maids watumie PEP lakini wapi
Yani unaongea kirahisi tu kuwa jamaa kajikanyagisha moto😂
 
Vijana mnachekesha lakini pia mnafurahisha sana .
Anyway wewe jamaa huna ngoma kuamini naongea Kama mtu wa afya mwandamizi pia .

Naishi sehemu ambayo Kati ya watu kumi basi name ni waathirika ,ikiwa Kuna mtu wa afya katika huu uzi hasa wale wa CTC atajua ni mkoa gani na Kijiji gani ,hivyo jiamni Nina shuhuda nyingi nikianza kukueleza utahisi nakupanga lakini jua hapo ngwengwe haipo bro .

Usijekujidhuru bure kwa vitu visivyo na maana ,juma lililopita nilikuwa nyumbn nacheza na paka wangu Kuna kajamaa kamenizoea vibaya kutokana na mambo ya mpira hivyo hata kwangu kanakuja muda wowote tofauti na wengine wanavyonichukulia .

Sasa kwenye story na utani wa hapa na pale kakaniambia kuwa Kuna mdada mmoja kamemla usiku wa kuamkia hiyo siku ,bad enough huyo dada Mimi najua fika kaathirika maana Kuna muda anachukua maharagwe kituoni kwangu .

Nikavunga kuwa mbona yule mzima kabisa Ila tufanye nikupe dawa za kujikinga ili hata Kama Kuna la kutolea usipate ,kakagoma nikavunga kimya .

Sasa leo kanapiga simu eti wewe jamaa mbona wshikaji wanasema yule dada kaungua na wewe ulinificha Mimi nikakambia kufanya kazi mochwari sio lazima nijue sura ya kila maiti ,akakata simu .maana sio maadili ya kazi Mimi kuanza kutaja waathirika .

Sasa kakapita nyuma kwa nyuma kakampata kijana mmoja wa job anajitolea akakapima akakakuta kana ngoma japo inaonekana ni kitambi Ila kalikuwa hakajui status yake .

Napigiwa simu Kuna mgonjwa kazimia ghafla tunaomba msaada wako ,naenda nakakuta kashikaji kapo kamezimia ,nauliza scenario naambiwa kalienda kupima kakapimwa kakakutwa imo ,kakazima hapo hapo .

Nikasikitika sana Ila nikajifunza kuwa vijana tunarahisha mambo na pia hatuko serious na kujikinga tunakuwa tunajaribu tu .

Jamani ndugu zangu ugonjwa upo ,wengi wanao ,ningeruhusiwa labda kuwapa data na picha za wahusika ningefanya ili mlio salama mjue HIV/AIDs is real
Swali hapo mkuu....Vp ukifanya Mapenz na mdada muathirika na ukapata mchubuko...kwa tahadhari ukatumia hizo PEP full month... Utaokoa kbs hutopata maambukiz?
 
Kaka najua hujaniuliza mm hiliswali ila napenda tu kukutoa hofu kama uliwahi mapema nadani ya masaa 72 and mostly ndani ya saa 24 na ukazitimia PEP vizuri bila kuruka ruka au kupoteza muda unatoboa maana hata mm nilikua muhanga ila sasa naenda mwezi wa 5 niko poa kabisa na nimesahau ila sirudii kula dem kavu hata awe dem wangu
 
Hahahaha utakoma mkuu ..sisi hatuwezi kukuponya Wala kukuonea huruma hahaha ..
 
Swali hapo mkuu....Vp ukifanya Mapenz na mdada muathirika na ukapata mchubuko...kwa tahadhari ukatumia hizo PEP full month... Utaokoa kbs hutopata maambukiz?
Ndugu hizi dawa sio asilimia Mia moja kizuia gonjwa hili ndiyo maana unashauriwa katika yote inabidi umuandae vizuri huyo bidada hata Kama anao walau uishie kuelea tu
 
Ndugu hizi dawa sio asilimia Mia moja kizuia gonjwa hili ndiyo maana unashauriwa katika yote inabidi umuandae vizuri huyo bidada hata Kama anao walau uishie kuelea tu

Kaka najua hujaniuliza mm hiliswali ila napenda tu kukutoa hofu kama uliwahi mapema nadani ya masaa 72 and mostly ndani ya saa 24 na ukazitimia PEP vizuri bila kuruka ruka au kupoteza muda unatoboa maana hata mm nilikua muhanga ila sasa naenda mwezi wa 5 niko poa kabisa na nimesahau ila sirudii kula dem kavu hata awe dem wangu
Siku 51.....7weeks dogo kapima kapata negative (-) ila alitumia PEP kwa ufasaha hapo one month later ataeza kucomfirm.
 
Huyo ametoboa ila mwambie tu next time awe makini kaka maana huku nje ni hatari na madem wengi wenye moto hawana huruma aisee
 
Back
Top Bottom