political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
- Thread starter
- #81
Kuna dr sehemu amepost kuwa mwenye virusi vya HIV awezi kupiga chafya ata akiwa kwenye window period..kuna ukweli apa wadau?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasemaje, umeukwaaaaaaaaaa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utaki ata kumfariji mgonjwa [emoji29][emoji29] ata kunipa false hope umeshindwa[emoji2][emoji2][emoji16][emoji16]
Mbna badoooo, utasemaa yoteee, ulikamiaa show bas ndo umelibebaa baba wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna dr sehemu amepost kuwa mwenye virusi vya HIV awezi kupiga chafya ata akiwa kwenye window period..kuna ukweli apa wadau?
Mkuu nimekuelewa [emoji1666]Acha ufike darajani ndipo upige hesabu za kuvuka, unaweza jiumiza kuwaza utavukaje kumbe daraja lipo sawa na hakuna changamoto yoyote
Nilivyozidi kumsumbua kuwa kaniambukiza HIV alinijibu " please naomba uniache sipendi icho unachonifanyia na mimi nikazidi kuendelea kumlalamikia dk za mwisho akawa ananiambia sasa itakuaje na mimi nimeshakuambukiza HIV vp unaogopa uku akicheka akaendelea kusema usijali si utakunywa dawa..apo ndio nilipagawa na kuanza kulia peke yangu..mind torture ni hatari yani aliweza kunivuruga kiakili nikawa kama chizi[emoji17][emoji17]..Shida ni kwamba tamaa iliingia kwenye akiri yenye changamoto,,jipe muda ,tuliza hulka ya ukurupukaji,jishushe kwake kwanza ili wote wawili mkacheki afya, tofaut na hapo unaweza sababisha tatizo Kwa huyo binti shida ni kwamba ulitanguliza ukurupukaji ukaropoka huwez jua Kwa maneno uliyomwambia uwezo wake wa akili upoje je anaweza kuhimili mshtuko wa kauli zako? Jishushe muite mzungumze mambo mnayopitia yapo ndani ya jamii hivyo wewe sio wakwnza hebu tumia nafasi hiyo ya majibu uliyopata hrf mjenge mwenzio vzr kisaikolojia!
[emoji120][emoji120].. VIJANA TUEPUKE NGONO ZEMBEMie ni mtu wa Afya....
Hapo kwa vipimo vya awali hauna UKIMWI. Kinachokutesa ni saikolojia tu....NEVER GOOGLE YOUR SYMPTOMS!
Baada ya miezi 3 kapime tena! U are ok!
NB: epuka ngono zembe, utakufa!
Shukrani mkuu[emoji120]Mkuu kuwa careful,mawazo mengi yana affect immune system, utaanza kupata infections udhanie una ukwimwi kweli.... fanya mazoezi during the day yatakayokufanya uchoke ulale, au tafuta hobby kama swimming,kwenda church kwa mafunzo etc, namaanisha usikae idle.
Pamoja mkuu[emoji120][emoji120]Kwamba unataka uwe na ngoma au?? Hosp umeambiwa huna wewe unataka uwe nao.
Umepima magonjwa mengine?
Fanya checkup na upunguze wenge, stress zitakuua
Nyama kwa nyamaaa..!! Gusanishaaa..!!Kipengele kigumu sanaa hichi 😔😔😔😔
NGONO ZEMBE NI MBAYA SANA..DONT TRYNyama kwa nyamaaa..!! Gusanishaaa..!!
Unajijua unayo presha unaenda kupima ili hiweje wewe ishi nao2 huo ukimwi.Ukimw sasa kma kuumwa kichwa acha huoga wwWiki 2 na siku 5 zilizopita nimetoka kuuza mechi( yani kupiga kavu) na demu ambae tunajuana kwa muda mrefu.. balaa likaja baada ya kupita wiki 1 na siku kazaa nilipata mafua makali lakini yakakata baada ya siku 2.
Siku niliyopata mafua nimelala ghafla tu usiku mawazo yakaja kuwa yule demu atakuwa amekuambukiza ukimwi. Nikaanza kuwa mtu wa mawazo nikaamua ku google dalili za mwanzo za ukimwi lohh karibu 3 au 4 ninazo mwili kukosa nguvu, magoti kuchoka, koo kuuma kama maumivu ya matonsil, pamoja na vipele vidogo vidogo kutoka mgongoni.
Wakuu napata mawazo mpaka kichwa upande wa kisogoni kunawaka moto.. nikaanza kuvurugwa na kuanza kumtumia demu meseji za ajabu kama vile "" kwanini umenifanyia hivi si ungesema tu kuliko kuniua demu aka react na kuniuliza kuwa anielewi ninachomaanisha nikamchana live kuwa kaniambukiza ukimwi.
Nikamwambia kama kweli unajiona uko salama twende tukapime dohhh alikataa kata kata na mimi ndio nikazidi kudata kwa mawazo nimembeleza tukapime wapi.. Nikajipa tiki tu direct kuwa mimi tayari ni muathirika, baada ya kufika wiki 2 nikaenda kupima mwenyewe kwakuwa nilishajikatia tamaa sikuwa naogopa kabisa.
Nilipimwa na kukutwa Negative nikaambiwa nipime tena baada ya miezi sita kidogo nikawa na furaha lakini baada ya muda yakaja mawazo mengine vijidudu ni ngumu kuonekana baada ya wiki 2 nikaanza upya mawazo..nikaenda kupima tena sehemu nyingine majibu yakawa yale yale mpaka nikaanza kubishana na mpimaji na kuanza kumuelezea dalili zangu akaniambia nirudi tena baada ya miezi mitatu..
Ikafika hatua nikatamani nitafute mganga amroge. Yule demu ili nikimwambia tukapime basi asikatae...Najua kuna wataalamu wa afya hapa JF naombeni msaada wenu kwa hili ninalopitia.
Thanks
Kama magonjwa yapi?nmecheka sana [emoji23][emoji23][emoji23] watu mnaogopa kufa jamani.
Kitu wasichojua wengi ni kwamba yapo magonjwa ya kuambukiza mabaya zaidi ya HIV ambayo nayo ni Virus pia
na hizo hofu zinafanya kinga ya mwili inashuka kama HIV tu ndo mana ukiwa na stress/hofu nyingi unajikuta unapata maradhi ya ajabu ajabu!! Ipo nguvu juu ya amani ya moyo ukiwa na amani tu utashanga aunapona mambo mengi sana
Dahhh we jamaa muoga sana Aisee, yani unaogopa hivo ukimwi miaka hii ya watu kuishi na ukimwi ni Amani kuliko SukariWiki 2 na siku 5 zilizopita nimetoka kuuza mechi( yani kupiga kavu) na demu ambae tunajuana kwa muda mrefu.. balaa likaja baada ya kupita wiki 1 na siku kazaa nilipata mafua makali lakini yakakata baada ya siku 2.