Hakika. Halafu ilikuwa ni ujinga wangu tu, mwanamke nilimpatia Facebook tu alikuwa yupo Arusha mie nipo Dar. Yule dada sijui alinipendea nini tu. Alifunga safari hadi Dar nilipo, aisee nikiri kuna wanawake wazuri, she was so beautiful na zaidi, yaani ngozi yake kama vile ndio kifaranga cha kuku kimetoka kwenye yai, mweupe na ana shape, halafu ni wa kishua na alinisaidia sana, hakupenda kuona shida zikiniandama.
Nilipanga nitatumia condom, lakini kwa uzuri ule alokuwa nao niliona nikitumia kinga nitakuwa ni kama sijamla, nilitaka ili nipate flavor yake kamili lazima miili iungane bila kipingamizi and for sure i enjoyed her and felt so proud..
Niliteseka sana baada ya yeye kuondoka maana mawazo yalikuja mengi sana nikawaza mbona nilivaa condomu na nikaivua hata kabla ya show huku akiwa ananitazama tu, kwanini hakuuliza chochote? On top of that kina masaa kadhaa simu yake haikuwa hewani, nilijua moja kwa moja she killed me na hapo mission yake imeisha kazima na simu.
Nilikonda sana hicho kipindi, nikimuuliza naona ye yupo normal tu na tunaongea kama kawaida. Nilianza kula vibaya ili kuona nitadhoofu au vipi, ikapita miezi mitatu taratibu nikawa ninarelax hadi nikarudi normal, nilikuwa namchukia ila nilirudisha upendo tena.
Binadamu tulivyo wasahaulifu, kuna kipindi nikiwa geita akaniambia anataka kuja, nikasema okay. Alikuja na nikamrarua tena peku. That time sikupata tabu hizo.