Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

Kweli.mwisho wa dunia unakarinia badala ya mzee kumtegemea kijana, imekuwa kijana anamtemea mzee.
Malimwengu.
 
Kweli.mwisho wa dunia unakarinia badala ya mzee kumtegemea kijana, imekuwa kijana anamtemea mzee.
Malimwengu.
Huyo jamaa ni mzee, miaka 41

Hi wale watoto wanaitwa hasara tupu
 
Mzee amekuzidi akili 10000 miles away...

Na akakupa dili ya udalali akiamini utajiongeza ila bado umekuwa wa hovyo.....

Ameuza hio nyumba akiamini siku akifa mtagombana sana... Na wew ungekuwa mgomvi wa kwanza...

Wewe pia sio kijana.. Ni Mzee wa hovyo.... Jitafakari kaa mezani na Baba ako mzungumze
 
Ufe kabla ya mzee, shenzy kabisa ww
 
Ameshindwa hata kula na dalali [emoji23][emoji23]
 
Unaumwa mavi wewe uchukue hatua gani kwani mali yako tafuta mali yako umri unaenda unawaza kusaidiwa na mzee ambaye amekulea toka mtoto hadi hivi sasa mtu mzima unaendea kuzeeka unatoa macho kwa old man aliyeishiwa nguvu kuwalea. Angalia usije kumkodia majambazi utaishia jela
 
Duuuh inasikitisha sana ila inategemea na malezi ambayo wazazi wanatulea. Mtoto anapokua mzazi anamwambia hizi mali zote mwanangu za kwako,,,mtoto badala ya kupambana kichwani anaweka mali za wazazi.

Kisheria huwezi kurithi mali za mzazi ilihali yupo hai labda awape kwa mapenzi yake.
Nakumbuka enzi hizo tunasoma wazazi walikuwa wanatuambia elimu tunayowapa ndo urithi wenu,,msitegemee kama.kuna urithi mwingine na mtu akicheza na shule shauri yake.kila mtu alipambana kusoma kwa bidii saa hizi kila mtu anamaisha yake. Wazazi wapo wanakula bata zao hakuna hata anayewaza urithi wao.
 
Kajenge ya kwako, unataka akupatie hela ili ukacheze kamari! Hupati hata senti tano, nenda kalime upate pesa yako mwenyewe!
 
Ameshindwa hata kula na dalali

Vijana wanawaza ngono tu,, wanapewa fursa wanashindwa kuzitumia....na Baba ake aliona hapo hana mtoto ana mzigo...labda amuonee huruma tu amuache aendelee kukaa kwa baba ake

Kwa kijana mafutaji yoyote ambae angeambiwa hvo na baba yake lazima angepata hela....
 
Huyu jamaa karudi tena
The return of kikoozi jamaa huwa ananivunja mbavu na thread zake kuna ile moja anaomba ushauri, anakaa kwa Kaka analala sebleni kwakuwa kuna chumba kimoja sasa kero shemeji anamuamsha asubuhi ili afanye usafi, anaomba ushauri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sisi vijana wadogo wenye umri wa miaka kuanzia 40 - 50 sijui kwanini tunanyanyasika sana πŸ˜„
 
Huna chako hapo kwanza hadi ufike 41 hujatoboa ulikuwa unafanya nin
 
Hahahahaha huyu jamaa ananikumbusha Daktari wa Meno hawa watu ni chenga kabisa. Moja ya waburudishaji bora kabisa humu jukwaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…