Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

Nenda mahakamani mfungulie kesi ya kuuza mali uliotegemea kurithi baada kifo chake.

Nyie ndio mnazeeka mkisubiri mali za urithi mwisho wake mnawaua wazazi.
 
Jenga yako.
Kwani ulimsaidia kuijenga hyo nyumba
 
nyumba ni yetu, maana nimezaliwa hapo hapo
Chondechonde usije ukamuua baba Ili uzipate hizo pesa. Pesa hutazipata na jela utaozea. Cha kufanya ni wewe kutafuta maisha yako mwenyewe. Ila kama unaona hiyo option huwezi na ungependa uendelee kuishi kwenye nyumba ya familia (kwa baba), basi usionyeshe hali yoyote mbaya kwa baba na muunge mkono rudi naye kijijini ukaishi kwenye hiyo nyumba ya kijijini. Ukiwa huko kijijini, fanya ubunifu wa miradi ya baba (siyo yako). Wewe miradi yote ifanye iwe ya baba yako na wewe ukiwa msaidizi tu kiroho safi. Kwa kufanya hivyo, utajifunza skills za maisha pia na kuzipata hizo pesa indirectly. Ila kama baba hatataka kufanya mradi wowote zaidi ya kula bata tu, hapo sina ushauri mwingine zaidi ya wewe kuanza kivyako at your own.

Ila yote kwa yote, ni dhahiri kabisa wewe na huyo baba yako si sehemu ya familia bora zenye malezi mazuri. Yaani kusema tatizo halikuanzia hapo kwenye kuuza nyumba tu. Itakuwa una shida kiasi baba yako angeshindwa kukuamini. Lakini hujachelewa kujirekebisha na kuwa mtu bora kabisa kiasi baba yako akiamini na kujihisi ana mtoto. Fanya hivyo nilivyokwambia then utakuja kusimulia huko mbele. Badilika bro miaka 41 si ya kuendelea na maisha ya kutojijua.
 
Huyu jamaa si lile JInga ambalo baba ake alilifukuza kwake kisa linashabikia CCM??? Yani kuna wazazi huwagana wanajuta sana kuzaa watoto sema ndo ishakua..
 
Kaolewe na ma single mama wapo wengi
 

Umuhimu wa punyeto ndo huu!! baba ako alijua ww ulikua bao la hasara angepga tu pull[emoji28]
 
Miaka 41 bado unang'aa sharubu kwa babaako?.
Na nyie mnazingua sasa mnamlazimishaje awe mzee? wakati ye mwenyewe anasema ni kijana wa miaka 41 huoni mnamnyanyapaa hapo?
 
We jamaa huna akili na ndio maana miaka 41. Bado unamlilia babako. Sasa si ungejiongeza ktk ile hela ya kununua nyumba walau ungeweka chako cha juu ili basi biashara ikishafanyika upate chako cha juu mchezo uishe.
 
Baba hana kosa lolote nyumba ni yake huna mamlaka yoyote
 
Mzee mjanja na hyo nyumba hajauza ww, huna akili, yani kuuza nyumba ndo unahangaikia ka unataka kufa, ungeangaikia hvyo maisha ungefika mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…