PANTHERA LEO JF-Expert Member Joined Jan 25, 2019 Posts 2,307 Reaction score 3,437 Aug 26, 2022 #1 Habari wakuu, Naomba kuelekezwa sehemu wanazouza sigara kwa bei nafuu ya jumla ambayo na mimi nitakwenda kuuza jumla. Pia na bidhaa nyingne kama k vant, konyagi nk
Habari wakuu, Naomba kuelekezwa sehemu wanazouza sigara kwa bei nafuu ya jumla ambayo na mimi nitakwenda kuuza jumla. Pia na bidhaa nyingne kama k vant, konyagi nk
Vawulence JF-Expert Member Joined Jan 4, 2009 Posts 1,930 Reaction score 2,118 Aug 26, 2022 #2 PANTHERA LEO said: Habari wakuu Naomba kuelekezwa sehemu wanazouza sigara kwa bei nafuu ya jumla ambayo namimi nitakwenda kuuza jumla. Pia na bidhaa nyingne kama k vant, konyagi nk Click to expand... Nenda kwa mama Cassanova njia ya kuelekea Korongoni kupitia Kiusa.
PANTHERA LEO said: Habari wakuu Naomba kuelekezwa sehemu wanazouza sigara kwa bei nafuu ya jumla ambayo namimi nitakwenda kuuza jumla. Pia na bidhaa nyingne kama k vant, konyagi nk Click to expand... Nenda kwa mama Cassanova njia ya kuelekea Korongoni kupitia Kiusa.
PANTHERA LEO JF-Expert Member Joined Jan 25, 2019 Posts 2,307 Reaction score 3,437 Aug 26, 2022 Thread starter #3 Isaac said: Nenda kwa mama Cassanova njia ya kuelekea Korongoni kupitia Kiusa. Click to expand... Naomba namba zake mkuu nipo vijijini
Isaac said: Nenda kwa mama Cassanova njia ya kuelekea Korongoni kupitia Kiusa. Click to expand... Naomba namba zake mkuu nipo vijijini
Vawulence JF-Expert Member Joined Jan 4, 2009 Posts 1,930 Reaction score 2,118 Aug 26, 2022 #4 Nimekutumia inbox cheki