Msaada: Biashara ya sigara

Msaada: Biashara ya sigara

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
2,307
Reaction score
3,437
Habari wakuu,

Naomba kuelekezwa sehemu wanazouza sigara kwa bei nafuu ya jumla ambayo na mimi nitakwenda kuuza jumla.

Pia na bidhaa nyingne kama k vant, konyagi nk
 
Habari wakuu
Naomba kuelekezwa sehemu wanazouza sigara kwa bei nafuu ya jumla ambayo namimi nitakwenda kuuza jumla.

Pia na bidhaa nyingne kama k vant, konyagi nk
Nenda kwa mama Cassanova njia ya kuelekea Korongoni kupitia Kiusa.
 
Back
Top Bottom