Msaada/confession: Sijui kupika wakuu

Joanah

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
22,527
Reaction score
79,976
Itabidi utafute mwanamume anaejua kupika kama Mwachiluwi ili mgawane majukumu mkuu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…... Jokes.

All in all kupika ni sanaa so sio kila mtu anaweza kuimudu hiyo sanaa, kuchanganya changanya mavitu vitu hadi itokee kitu yenye ladha moja sio mchezoπŸ˜…πŸ˜…
 

Wakati fulani nilikuwa nimeshaweza ilaaa nilivyoacha hapo nikaharibu
 
Penda kupika mara kwa mara pia mafuta yachukulie sumu pindi unapopika weka kidogo sana pili acha kukologa kologa yaani kugeuza geuza chakula mfano wali ukipika ukishaweka maji punguza moto wako kama unapikia gesi kisaha endelea na mamb mengine

Kama unapika mkaa ukishaweka wali punguza mkaa ukiweza ule mkaa unao upunguza upalilie juu pia penda kuangalia mtandaoni jinsi wenzako wanavyopika
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ utani wako fanya uwe kweli basi πŸ˜‚
 

Leo nimeweka mafuta kidogo lakini ajabu wali unawaka waka loh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…