Msaada/confession: Sijui kupika wakuu

Msaada/confession: Sijui kupika wakuu

Wakati fulani nilikuwa nimeshaweza ilaaa nilivyoacha hapo nikaharibu
Basi utakua fit, maana dereva mzuri ni yule anaeendesha siku zote ila mara mbili kwa mwaka ukipewa utaendesha ila ufanisi utakua zero.

Ndio kama wewe sasa, umepika ila mafuta mengi kwa maana makadirio yako juu ila ukipika tena kesho yanaweza yakawa chini ila kesho kutwa yatakaa sawa...

Sooo, pika, pikaaa ,pikaaaaa mkuu.😅
 
🤣Mi nadhani achana na masufuria haya ya kizamani tuliyozoea kupikia misibani...jaribu hizi sufuria za kisasa za kijerumani labda zitakubalancia mafuta mpenzi 🥴
Binti wewe unajua kupika. Ila asikueleze mtu non stick haziunguzi chakula noo. Non stick hazigandishi sufuria makoko only.
Na hazichafuki rahisi kuosha.
Wewe maswala ya non stick kutounguza chakula umesikiaaaa wapiiiii.
Non stick ukiunguza chakula kinatoka kama tofali kwenye mashine ya umeme. Ukoko hutafuni wa non stick.
 
Basi utakua fit, maana dereva mzuri ni yule anaeendesha siku zote ila mara mbili kwa mwaka ukipewa utaendesha ila ufanisi utakua zero.

Ndio kama wewe sasa, umepika ila mafuta mengi kwa maana makadirio yako juu ila ukipika tena kesho yanaweza yakawa chini ila kesho kutwa yatakaa sawa...

Sooo, pika, pikaaa ,pikaaaaa mkuu.😅

Nitajitahidi kupika nikiweza manake muda wa kupika mixer uvivu 🙌
 
Binti wewe unajua kupika. Ila asikueleze mtu non stick haziunguzi chakula noo. Non stick hazigandishi sufuria makoko only.
Na hazichafuki rahisi kuosha.
Wewe maswala ya non stick kutounguza chakula umesikiaaaa wapiiiii.
Non stick ukiunguza chakula kinatoka kama tofali kwenye mashine ya umeme. Ukoko hutafuni wa non stick.
Ukoko wake ni mtamu ila mgumu mno🤭
 
Back
Top Bottom