Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787]Sio mimi
Kaandika kwa upole maskini😂😂😂🤣🤣🤣Nilichogundua huyu anajua tu kuandika lakini kiasili ni mpole sana
[emoji1787]Tena wewe
Uku kwangu ataaga anaenda wapi?Soon atajua namuhamishia nyumbani mpaka atoke hapa kashajua zaidi
🤣🤣🤣Khaa🙄[emoji1787]
Mimi nimefanyaje tena.
Wakati fulani nilikuwa nimeshaweza ilaaa nilivyoacha hapo nikaharibu
🤣🤣🤣 Hawacomment,wanakuhesabia tu🤤Nishajuta kuweka uzi mbona 😂😂
Sema nawamudu hao mapimbi watakaonijia juu
Bro si umecheki tu catress Mwachiluwi kavipi tukaweke kambi kwake wiki moja tu.Wakuu,
Nilishawahi kuleta uzi wa kutojua kupika way back Mwanamke kutojua kupika inaweza kuwa sababu ya kupewa talaka?
Jioni hii nimepika wali...nauangalia hapa naona aibu mimi...wali una mafuta huoo
Nilianza kujua kupika lakini sjui nimesahau ama ni vipi lakini kila nikipika naharibu 🙌
Nisaidieni tips za kujua kupika vizuri...
Aaliyyah
Mwachiluwi
Sis Carleen
Bro Evelyn Salt nisaidie braza
Hujaamua tu dear..
Mimi mpk namaliza chuo nilikuwa sijui kupika chochote zaidi ya kuboronga
Ila ule muda niliokaa home nilisema lazima nijue kupika
My late ex alikuwa anapenda sana nijue kupika yaani utakuta ananitumia recipe anasema nakupa assignment nataka upike hiyo kitu
Basi nitaingia google sijui YouTube ni kufatisha tu
Thank to my ex sasa najua kupika kila chakula ambacho ni common
Yaani mpk chapati za kusukuma tena laini sana najua
Rest In Peace my love 😍
Unatumia sufuria ya aina gani??Leo nimeweka mafuta kidogo lakini ajabu wali unawaka waka loh!
Wakuu,
Nilishawahi kuleta uzi wa kutojua kupika way back Mwanamke kutojua kupika inaweza kuwa sababu ya kupewa talaka?
Jioni hii nimepika wali...nauangalia hapa naona aibu mimi...wali una mafuta huoo
Nilianza kujua kupika lakini sjui nimesahau ama ni vipi lakini kila nikipika naharibu 🙌
Nisaidieni tips za kujua kupika vizuri...
Aaliyyah
Mwachiluwi
Sis Carleen
Bro Evelyn Salt nisaidie braza
Bro mambo mengine yaache tu 😂😂😂😂Kuna wakati nashindwa kupima uwingi wa maji na mchele
Ingia YouTube mpnz yaani unafatisha kila kitu… ukimaliza kesho yake unarudia kilekile ulichojifunza trust me utajua tuNiliamua wakati fulani nikajua lakini nimesahau tena
Hizo chapati mtu akisema anajua kuzipika namshangaa,mimi sijawahi kuzijulia na huwa nazipenda sana
Chuo short courseUku kwangu ataaga anaenda wapi?
Bro mambo mengine yaache tu 😂😂😂😂
Tafuta rafiki mpemba, wapemba wengi mashaAllah wanajua kupika.
Hivi jf kuna wapemba kweli? Au tupo ma bro wa kiswahili tu
🤣🤣🤣Hapana,tunaenda nao hao...Ama niombe uzi ufutwe? Kwanza sikujua kama uzi utatembea namna hii kwenye jukwaa la mapishi 🤦♀️