Msaada/confession: Sijui kupika wakuu

Msaada/confession: Sijui kupika wakuu

Picha ya huo ubwabwa iko wapi ukute ni macho yako tu wala hauna mafuta legend Mwachiluwi akusaidie kuchanganua
 
Kupika hakuna fundi wa uhakika nafikiri kuna siri kwenye kupika wengine hatujui mana mm napika sana ila ubwabwa wangu haufanani kabisa na anaopika demu wangu 🙌

Nafarijika sana kwa comments za hivi mkuu 🤣
 
Huenda sio hobby yako, ngumu kufanya vizuri kitu usichokipenda.

Upate tu mtu mwelewa ili hata siku ubwabwa ukiwa mbichi asilalamike.😁
Wali mbichi sijawahi kuupika...ni either uzidi maji,chumvi ama mafuta
 
Pole.
Mpishi ni mpishi tu mamy hata ukipitisha miaka 10 pasipo kuingia jikoni UJUZI haufi.

Unahitaji kufundishwa kupika nini wapishi tuanze kujipanga?
Mimi nitakufundisha kupika chai na ugali😁.

Mkuu,kusahau kupo...mimi sikuwa hivi
 
Nilikuwa kama ww nikatafuta mwanaume ambae hajui mapishi aise nasifiwa najua lakini mama akila anasema unajitahidi ila bado mwanaume kama mwachiluwi hapana aisee ataniumbua
Huwa sikusifiagi nakuchora tu.
 
5aa607ac773fd9865370554217a706e1-jpg.3038919

karibuni futari, wife ndio kaivisha...
 
Back
Top Bottom