Msaada: Dawa ya jino lilioanza kutoboka, maumivu kwa mbali pale napotafutana chakula

Msaada: Dawa ya jino lilioanza kutoboka, maumivu kwa mbali pale napotafutana chakula

Kama hutaki kulitoa kafanye root canal.
 
Hilo limetoboka ila halijawa infected sijui wanasema kuwa na mdudu. Kinacholeta maumivu ni hao wadudu na nikwambie tu ndugu yangu, kama huna pesa ya root canal Utaling'oa.
 
Back
Top Bottom