MSAADA: Dawa ya kuondoa paka wanaolia usiku wa manane

Tjx mkuu barikiwa
 
U
Mkuu Pdidy una uhakika ile mikeka yako inaendelea kutick au umewaangusha wakamaria hivyo wanajibu mapigo ? [emoji38][emoji38]

Pole sana ndugu utani tu ila jaribu chumvi ya mawe
Meaanzaaa janancity na leo......
 
Ukiwasikia tena Waambie kwa sauti wachukue fagio wafagie uwanja,wote watapotea, Washa bhangi kali saa hiyo wanayokuja.
 
Dunia ina.mamboooo
ninetumiwa inbox
washa bangi vyumban j
{Bong..i}
hahahaaa
Tupendane tukiwa hai...
uniletee kipila ndugu kumbe nafukuza paka tu kha...na.umrihuu na mahabusu bora nife
 
Hata huku kwetu paka wanatoka uswahilini wanakuja kupiga kelele kwetu, Wafugaji wa paka mnafuga paka hamuwezi kuwatunza[emoji3] wapeni chakula paka wenu
 
Ni rahisi tu, unawatokea usiku kishujaa na kuwakemea kuwa hutaki kusikia kelele zao na wasije tena. Huu mtindo wa mapaka kulialia hivyo upo tangu miaka mingi. Kuna wakati wanashirikiana na mabundi kupiga kelele usiku, hapohapo majinamizi nayo yanasumbua usingizini. Yaani ni vurugu tupu unaweza kuhama nyumba
 
Wape ile sumu ya panya changanya na dagaa au samaki. Watakwisha mmoja baada ya mwingine. Kisha tuletee updates hapa
 
Tunakuomba ndugu Mshana Jr
 

Daah, hii point naomba ipigwe lamination na ihifadhiwe makumbusho.
 
Fuga mbwa.
Nilikuwa na hii shida kwenye nyumba yangu wakati nahamia,unakuta yanatembea juu ya ukuta,yanalia dirishani.iliisha baada ya kuanza kufuga mbwa.Mtoa mada anajaribu kutulazimisha tuamini hao sio paka wa kawaida ila ni paka tu na hzo ndio tabia zao.
 
Kama umeshagundua ni vita basi huna budi kuvaa silaha zote za ki-Mungu,,kumbuka vita vyetu si vya kimwili ni vya kiroho,,kwahiyo imani yako inatakiwa kuwa thabiti sana.
 
Hakuna taarifa zinazonisikitisha kama hizi.

Hivi ni nini kifanyike Jamii yetu itoke kifungoni kwenye hizi imani za kijinga zinazotupotezea muda?. Wenzetu huko Duniani wanapambana kuisaidia Dunia kiteknolojia sisi tunapiga mak time...imani zile zile za miaka 1000 iliyopita bado zinatutafuna.

Kama unapoishi kuna Paka basi siku zote tarajia tu watapiga kelele, iwe usiku au mchana ni isivyobahati tu wao hawajali sana muda gani ni sawa kufanya hivyo na muda upi si sawa...hivyo wafanyavyo ni sehemu ya maumbile yao kutoka kwa aliyewaumba...ondoeni imani za ajabu ajabu mpaka mnaishia kuwadhuru viumbe wasio hatia.

Mtu unaona sawa kabisa kujinadi kuwa umewauwa wawili....kwa nini unawauwa?.
 
Unapata dhambi kuwaua aisee angalien wanavutiwa na nin kuja hapo kwenu
 
Bujibuji Simba Nyamaume Mshana Jr njooni mtoe msahada kaka zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…