MSAADA: Dawa ya kuondoa paka wanaolia usiku wa manane

MSAADA: Dawa ya kuondoa paka wanaolia usiku wa manane

Msionee jamii f wanakesha mkahisi n shida za ndoa tu balaaa wenyewe wkiita ulaliiii..ndiomaana makanisa ya temboni n kawe yanajazaa daily
 
Nilikaa Mwananyamala kwa Bibi Mandela, waliokuwa wakilia hivyo ni mapaka madume. Ile nyumba ilikuwa na vibweka hatari
Paka huwa kipindi jike akiwa kwenye joto huwa anavutia madume kutoka sehemu za mbali, nà wanalia hivyo wala haihusiani na ushirikina kama wengi wanavyodhani...
 
Pdidy unahitaji msaada? Kufungulia redio ya Kuhani Mussa haitakusaidia, kumwaga maji ya baraka sijui mafuta ya upako utakuwa mnachambisha paka hapo.

Kama kweli unataka kuondokana na hilo jambo its a matter of prayers. Maana mpaka alarm imegonga, means umepata signal rohoni.

Pray earnestly. Isali sala ya baba yetu..kwa moyo tena kipengele baada ya kipengele. Kama unahitaji maelekezo PM tafadhali.
 
Nawazaa hata niliyemkosea nakosaaa

Na mwezi sasa nyumba haikaliki mapaka yanalia kuzunguka nyumba nzima...
Paka Watu hao ni wachawi hao wamekuja kukuwangia na wamekukuta bado upo macho una bahati ungelikuwa umelala wangekuchukuwa ukaenda kulimishwa mashamba usiku kucha na wangekurudisha saa 10 usiku kabla ya adhana ya alfajiri nitafute kwa wakati wako nikupe dawa ya kuwafukuza.
 
Paka Watu hao ni wachawi hao wamekuja kukuwangia na wamekukuta bado upo macho una bahati ungelikuwa umelala wangekuchukuwa ukaenda kulimishwa mashamba usiku kucha na wangekurudisha saa 10 usiku kabla ya adhana ya alfajiri nitafute kwa wakati wako nikupe dawa ya kuwafukuza.
Saa 10:07 hii Pdidy amka uchukue dawa,
 
Paka huwa kipindi jike akiwa kwenye joto huwa anavutia madume kutoka sehemu za mbali, nà wanalia hivyo wala haihusiani na ushirikina kama wengi wanavyodhani

Paka ni viumbe innocent hawana neno na binadamu na ni ukatili kuwaua viumbe ambao hawana baya na wewe

Tunaua tembo, tunaua simba, vifaru, chui, Twiga, paka, tunafyeka misitu, n.k Hivi tunataka hii dunia tubaki peke yetu?
kuna paka wengine wa kutumwa che zea uchawi wewe
 
Kaaka niombe radhi hao wawili wameenda atulali mke analiamgongoo wikisasa achatu mpwa ..yaan masamaki nkiweka nakuta yalivyo asbh natoa nahisi hat sumu ishkta tamaa kwenye samaki...
unaishi wapi?
 
Nawazaa hata niliyemkosea nakosaaa,

Na mwezi sasa nyumba haikaliki mapaka yanalia kuzunguka nyumba nzima. Niliweka sumu wakafa wawili yaan kama nimefungua vita wakija kama wanaita wenzaao hatulali wakuu...
Fuga mbwa
 
Tumia ubani mashtaka kuchoma usiku kabla ya kulala ukimshtakia mungu madhira yako kwa Imani yako Mambo yatakuwa vizuri.
 
Kwanini haya mapenzi wasifanyie kwa waliwafuga wanaenda kwa watu.
 
Nawazaa hata niliyemkosea nakosaaa,

Na mwezi sasa nyumba haikaliki mapaka yanalia kuzunguka nyumba nzima. Niliweka sumu wakafa wawili yaan kama nimefungua vita wakija kama wanaita wenzaao hatulali wakuu.

Kibaya wapangaji wangu wameanza kuhama mmoja mwanae amelala nae kitandan kamkuta sebulen nashukuru hawakuwa makatili kumtoa nje.

Mwingine ana wiki anaalalama anapigana na mwanamke mnene usiku mpaka saa 11 asbh anamwachia. Kama ujuavyo imani haituruhusu mngineyo ukikaa vijiweni unaambiwa mwagia mkojo na chumvi vyumban shida wa nani awasemi?

Mwingine kachukue maji ya baharini changanya na maziwa na chumvi na mavi ya tembo(kipengelee tembo achatu/mwagia vyumbani, mmhhh nk.

Tunapiga sala bado tukimwa mini Mungu ila tunapitia kwenye vita vikuu yaan hata kukaa na majirani nimeogopa. Sasa, nawaza kupeleka watotoo bdn; kama kupambana tumalizane nao wakubwa.

Hivi naandika wamekuja tena, aiseeeeeeee!

Yaan siku ya 5 sasa haya yanapiga makelele hayali sumu matokeo yanakuja dirishan moja likilis lingine linaitaa nyaauuuu nyaaaaaaaaaaaau kamawanafanya tendo la ndoa kinguvu kazi trutrue.

Mjini kuzuri lakn, mmh!
Mkuu Pdidy una uhakika ile mikeka yako inaendelea kutick au umewaangusha wakamaria hivyo wanajibu mapigo ? [emoji38][emoji38]

Pole sana ndugu utani tu ila jaribu chumvi ya mawe
 
Back
Top Bottom