Msaada: Dawa ya tego

Msaada: Dawa ya tego

Kwa wasio waislam je? haifanyi kazi au!
Kutokana navyo fahamu ni Waislamu tu ndo wanaweza kuomba dua hilo na sio wa Islamu wote, wengine si wa Islam Jina tu usiku wako ma bar na ma night club.

BTW nataka kukufahamisha pia Ukiwa mfata dini mzuri wa Ki Islam hata Jambazi hawezi kuingia nyumbani kwako ukisoma sura Al Yasin, kabla ya kulala hata uweke mlango wazi basi jambazi atabaki anazunguka tu pale pale kuingia ndani ya nyumba hawezi...Lakini inataka uwe na Iman.
 
mi nmeisoma sana hyo ila mpaka sasa naibiwa,tego ndo zuri
Hakuna tego linalo weza kusaidia bila uwezo wa Mungu.

Hao watakuibia tu pesa, na wanaume wataendelea kumla mke wako tu.

Kitakacho saidia na maombi tu, ili mke wako atulizane.

BTW, mimi kabla sijaowa niliomba Mungu anipe mke aliye tulizana, na mpaa mdaa huu Thanks God, na nitaendelea kumuomba Mungu azidi kumlinda mke wangu kwa kila mabaya.

Je we uliomba kwa Mungu kabla ya kuowa kupata mke mwema aliye tulizana, mwenye kukuheshimu wewe na wazazi wako pamoja na ndugu zako?

Kama ulisahau kuomba, Pole sana ndo utabaki tu kutafuta waganga hahaha, si bora umwache kama umeisha jua mke wako anagawa nje ya ndoa, kuliko kutafatua waganga wasio kusaidia kitu.
 
Yeye anasoma zaidi yako ndo maana analiwa kila kukicha; hata sasa hivi yuko anachart na hawala yake!
Wewe unaota na utabaki unaota, unadhani wanaume wote hatujiamini.

Uliona wapi kelele za M ku ndu zikapasua choo :biggrin1:
 
Kutokana navyo fahamu ni Waislamu tu ndo wanaweza kuomba dua hilo na sio wa Islamu wote, wengine si wa Islam Jina tu usiku wako ma bar na ma night club.

BTW nataka kukufahamisha pia Ukiwa mfata dini mzuri wa Ki Islam hata Jambazi hawezi kuingia nyumbani kwako ukisoma sura Al Yasin, kabla ya kulala hata uweke mlango wazi basi jambazi atabaki anazunguka tu pale pale kuingia ndani ya nyumba hawezi...Lakini inataka uwe na Iman.

mkubwa hiyo ni kweli inafanikiwa kwa wenye iman tu na sio kila sheikh umuonae ana iman thabit
 
Wewe unaota na utabaki unaota, unadhani wanaume wote hatujiamini.

Uliona wapi kelele za M ku ndu zikapasua choo :biggrin1:

Vipi tena mkuu fazaa? Mbona unaniangusha Sheikh wangu? Hakuna haja ya kutumia maneno makali namna hiyo Sheikh wangu.

Kama vipi msomee aya leo aharishe damu siku nzima. LOL!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Usijali kwani nimemtukana nilikuwa nampa tu joke nzito pale, Yani sio kila kelele zitanitisha.

BTW, siwezi kumuombea mtu mabaya hata siku moja.

Kumbuka msemo wa Prophet Muhammad unasema nini, Penda wenzako kama unavyo jipenda mwenyewe.

Aliendelea Prophet Muhamamd kusema, mwenye kupenda mazuri lazima awaombee na wenzake mazuri.

Prophet Muhamamd alitukataza sana mambo ya kuombeana mabaya, leo utakuata Mtu anamuombea mwenzake asiwe tajiri, asipate mke mwema, asipate watoto wema, watoto zake wasiwe wasomi na mambo chungu nzima, badala kuwaombea wenzake mazuri na yeye ajiombee mazuri kama wenzake ili apate.

Siku njema kijana.
 
Usijali kwani nimemtukana nilikuwasanampa tu joke nzito pale, Yani sio kila kelele zitanitisha.

BTW, siwezi kumuombea mtu mabaya hata siku moja.

Kumbuka msemo wa Prophet Muhammad unasema nini, Penda wenzako kama unavyo jipenda mwenyewe.

Aliendelea Prophet Muhamamd kusema, mwenye kupenda mazuri lazima awaombee na wenzake mazuri.

Prophet Muhamamd alitukataza sana mambo ya kuombeana mabaya, leo utakuata tu anamuombea mwenzake asiwe tajiri, asipate mke mwema, asipate watoto wema, watoto zake wasiwe wasomi na mambo chungu nzima, badala kuwaombea wenzake mazuri na yeye ajiombee mazuri kama wenzake ili apate.

Siku njema kijana.

Nashukuru mkuu. Siku njema na wewe pia.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
u're right tabia ya mtu iko nafsini mwake,haiwezi kubadilishwa kwa kitu cha nje yake (external) km si muaminifu,achana naye,tafuta mwenza muaminifu (ila itafaa zaidi kama na wewe ni muaminifu).

Umenena vema......!!!watu waache kujidanganya hata kama tego utalipata unadhani tabia itaisha??watu hawabadiliki jamani dawa ni kuamua kuwa na mwenza mwaminifu na ww kuwa mwaminifu..!!
 
Unataka wanasiane wakati wa kula "kiboga" au k? Bei inatofautiana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Tatizo lako sumu hutoi suluhisho
 
Mdeki; shida yote hiyo ya nini? uko tayari hata kulishwa hata mavi ya mbwa kisa kumtega mwenza wako. Achana na biashara hiyo, TAFUTA mpenzi mmoja mwaminifu nawe utaishi kwa raha na amani milele.
Hapiness mi nilishahangaika sana na hawa wanawake lakini wapi ndugu nimekuwa pendapenda lakini sipendwi
 
Lipo la kunatiana Lips wakati wana Dendeka. Faida yake unawawahi kabla hawajaanza ku-do.
 
Wapendwa wana JF, nimekuwa nachoshwa sana na tabia ya mwenzi wangu ya kutokuwa mwaminifu zaidi ninapokuwa ktk shift za kikazi nimewaza na kujadili nimeonelea "tego"pekee ndilo linavoweza kunisaidia kuweza kuwanasa mabazazi hawa "nataka kuwaumbua hadharani kweupee! MSAADA PLZ PLZ
 
Na wewe chepuka ili mwende sawa au mpige chini, tego mambo ya kishirikina na kishamba
 
Nitafute nikupe dawa,ukiwa unaingia kazini yeye huku nyumbani nampa tumbo la kuharisha ataharisha mpaka unarudi kazini sidhani kama atakua na hamu ya kuchepuka wakati yupo ktk uharo.
 
Wapendwa wana jf nimekuwa nachoshwa sana na tabia ya mwenzi wangu ya kutokuwa mwaminifu zaidi ninapokuwa ktk shift za kikazi nimewaza na kujadili nimeonelea "tego"pekee ndilo linavoweza kunisaidia kuweza kuwanasa mabzazi hawa "nataka kuwaumbua hadharani kweupee! MSAADA PLZ PLZ

Una kifua cha kukabiri mambo?
 
Wapendwa wana jf nimekuwa nachoshwa sana na tabia ya mwenzi wangu ya kutokuwa mwaminifu zaidi ninapokuwa ktk shift za kikazi nimewaza na kujadili nimeonelea "tego"pekee ndilo linavoweza kunisaidia kuweza kuwanasa mabzazi hawa "nataka kuwaumbua hadharani kweupee! MSAADA PLZ PLZ

tafuta humu kuna bandiko kuhusu tego. tafadhali Moderator Invisible msaidieni huyu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom