fazaa
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 2,984
- 1,031
Kutokana navyo fahamu ni Waislamu tu ndo wanaweza kuomba dua hilo na sio wa Islamu wote, wengine si wa Islam Jina tu usiku wako ma bar na ma night club.Kwa wasio waislam je? haifanyi kazi au!
BTW nataka kukufahamisha pia Ukiwa mfata dini mzuri wa Ki Islam hata Jambazi hawezi kuingia nyumbani kwako ukisoma sura Al Yasin, kabla ya kulala hata uweke mlango wazi basi jambazi atabaki anazunguka tu pale pale kuingia ndani ya nyumba hawezi...Lakini inataka uwe na Iman.