Kutokana navyo fahamu ni Waislamu tu ndo wanaweza kuomba dua hilo na sio wa Islamu wote, wengine si wa Islam Jina tu usiku wako ma bar na ma night club.Kwa wasio waislam je? haifanyi kazi au!
Hakuna tego linalo weza kusaidia bila uwezo wa Mungu.mi nmeisoma sana hyo ila mpaka sasa naibiwa,tego ndo zuri
Wewe unaota na utabaki unaota, unadhani wanaume wote hatujiamini.Yeye anasoma zaidi yako ndo maana analiwa kila kukicha; hata sasa hivi yuko anachart na hawala yake!
Kutokana navyo fahamu ni Waislamu tu ndo wanaweza kuomba dua hilo na sio wa Islamu wote, wengine si wa Islam Jina tu usiku wako ma bar na ma night club.
BTW nataka kukufahamisha pia Ukiwa mfata dini mzuri wa Ki Islam hata Jambazi hawezi kuingia nyumbani kwako ukisoma sura Al Yasin, kabla ya kulala hata uweke mlango wazi basi jambazi atabaki anazunguka tu pale pale kuingia ndani ya nyumba hawezi...Lakini inataka uwe na Iman.
Wewe unaota na utabaki unaota, unadhani wanaume wote hatujiamini.
Uliona wapi kelele za M ku ndu zikapasua choo :biggrin1:
Usijali kwani nimemtukana nilikuwa nampa tu joke nzito pale, Yani sio kila kelele zitanitisha.Vipi tena mkuu fazaa? Mbona unaniangusha Sheikh wangu? Hakuna haja ya kutumia maneno makali namna hiyo Sheikh wangu.
Kama vipi msomee aya leo aharishe damu siku nzima. LOL!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Usijali kwani nimemtukana nilikuwasanampa tu joke nzito pale, Yani sio kila kelele zitanitisha.
BTW, siwezi kumuombea mtu mabaya hata siku moja.
Kumbuka msemo wa Prophet Muhammad unasema nini, Penda wenzako kama unavyo jipenda mwenyewe.
Aliendelea Prophet Muhamamd kusema, mwenye kupenda mazuri lazima awaombee na wenzake mazuri.
Prophet Muhamamd alitukataza sana mambo ya kuombeana mabaya, leo utakuata tu anamuombea mwenzake asiwe tajiri, asipate mke mwema, asipate watoto wema, watoto zake wasiwe wasomi na mambo chungu nzima, badala kuwaombea wenzake mazuri na yeye ajiombee mazuri kama wenzake ili apate.
Siku njema kijana.
u're right tabia ya mtu iko nafsini mwake,haiwezi kubadilishwa kwa kitu cha nje yake (external) km si muaminifu,achana naye,tafuta mwenza muaminifu (ila itafaa zaidi kama na wewe ni muaminifu).
Hapiness mi nilishahangaika sana na hawa wanawake lakini wapi ndugu nimekuwa pendapenda lakini sipendwiMdeki; shida yote hiyo ya nini? uko tayari hata kulishwa hata mavi ya mbwa kisa kumtega mwenza wako. Achana na biashara hiyo, TAFUTA mpenzi mmoja mwaminifu nawe utaishi kwa raha na amani milele.
Wapendwa wana jf nimekuwa nachoshwa sana na tabia ya mwenzi wangu ya kutokuwa mwaminifu zaidi ninapokuwa ktk shift za kikazi nimewaza na kujadili nimeonelea "tego"pekee ndilo linavoweza kunisaidia kuweza kuwanasa mabzazi hawa "nataka kuwaumbua hadharani kweupee! MSAADA PLZ PLZ
Wapendwa wana jf nimekuwa nachoshwa sana na tabia ya mwenzi wangu ya kutokuwa mwaminifu zaidi ninapokuwa ktk shift za kikazi nimewaza na kujadili nimeonelea "tego"pekee ndilo linavoweza kunisaidia kuweza kuwanasa mabzazi hawa "nataka kuwaumbua hadharani kweupee! MSAADA PLZ PLZ