Msaada: Dawa ya tego

Achana na mambo ya kishirikina, fanya maamuzi magumu mpige chini huyo mwenza wako tafuta mwingine.
 
maamuzi magumu yanahusika, ukishindwa ...!
 
kweli umepania tego,wewe hujawai kuchepuka hadi umpanie mwenzako hivyo?kwanini upoteze muda na nguvu kwa kutafuta tego?na je kwenye kufumania kwako kibao kikigeuziwa kwako au ukaishia kuumizwa zaidi ya hapo coz hujui mbaya wako ni nina ukute yuko hata na mtu wako wa karibu?donot stress urself kama una uhakika na hisia zako achana nae kiutu uzima tu.
 
Huna lolote wivu tu unakusumbua, kama anakusaliti umeshindwa vipi kumfumania? Teh!!

Sometimes tegolinaua! Kwa nini uhatarishe au utake kumdhalilisha mwenzio? Kama kakushinda piga chini, akaumbuliwe mbele ya safari.
 
Umeshashuhudia akishughulikiwa au ni hisia tuu. Tafuta real evidence piga chini,unaweza kuweka hiyo tego na ukagongewa kama tuu kama kenya..
 
Hakufai achana nae
TATIZO nina watoto nae wawili nikijaribu kuwaangalia watoto natatizika sana mama yao ndio keshageuka pia mlevi fulani na nafikiri yupo karibu na mimama ya mtaa kuliko mimi mumewe fail to understand! nataka tego lile la wagandamane mpaka watoe machozi,lakini mtaalamu huyo awe pia na detouch component baada ya kuwaaibisha!
 

Hii haitokusaidia chochote!!!! Kama HAFUGIKI achaana naye kistaarabu; siyo kuonesha umma BIDHAA uliyokuwa ukitumia kisa inatumiwa na mwingine....
 
Ingia kwenye ile blogu ya Talk of Kenya, kwa chini kuna kitufe cha 'about us'. Pale utapata contact za wahusika, watakuunganisha na mtaalam wa tego yupo kenya.
 
Na ole wako utege halafu lininase kweli niko nae ujue nitakushtaki kwa kunidhalilisha
 
Matego ni hatari na wengi wanao naswa hawaponi, kuna mkoa mmoja wa kaskazini Mashariki mwa Tanzania, nimepata kusikia kuwa hao ni vinara wa matego tatizo ni kuwa tego hilo likimkamata mtu si rahisi kupona, tena nasikia gharama ya tego haizidi sh.1000/=(kama ni kweli), Dalili kubwa za mtu anayepoteza maisha kwa tego sehemu zake za siri (kwa wanaume) huwa zimesimama
Pia inaaemekana mke anapotegwa shart asiwe na mtoto wa kiume !!! Pia tego hilo inasemekana unaweza kuliweka hata kwa rafiki wa kike (girlfriend)
 
tego la nini bhana tafuta ushahidi ki great thinker alafu ndo uchukue hatua
 

ni hatari sana kuamini njia za kishirikina kuhandle ishu mapenzi
 
mmhhh unahisi ndio utakuwa umetatua tatizo
 
Watu wengi hawafahamu madhara ambayo yapatikanayo na mmoja wa mwenzi kutokuwa mwaminifu,mwenzi mmoja aumizwaye huathirika kisaikolojia na hujiona juhudi zote afanyazo ni bure,huanza kufikiria mbdala wake hivyo huanza kuchepuka lkn huwa sio dawa,wataalamu wa uingereza walibaini kwamba hali hii huweza kuharakisha hata kifo kwa yule aliyesononeshwa mno/it looks simple but can kills quickly
 
Nitafute nikupe dawa,ukiwa unaingia kazini yeye huku nyumbani nampa tumbo la kuharisha ataharisha mpaka unarudi kazini sidhani kama atakua na hamu ya kuchepuka wakati yupo ktk uharo.

Mbavu zangu jamani lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…