Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TATIZO nina watoto nae wawili nikijaribu kuwaangalia watoto natatizika sana mama yao ndio keshageuka pia mlevi fulani na nafikiri yupo karibu na mimama ya mtaa kuliko mimi mumewe fail to understand! nataka tego lile la wagandamane mpaka watoe machozi,lakini mtaalamu huyo awe pia na detouch component baada ya kuwaaibisha!Hakufai achana nae
Wapendwa wana jf nimekuwa nachoshwa sana na tabia ya mwenzi wangu ya kutokuwa mwaminifu zaidi ninapokuwa ktk shift za kikazi nimewaza na kujadili nimeonelea "tego"pekee ndilo linavoweza kunisaidia kuweza kuwanasa mabzazi hawa "nataka kuwaumbua hadharani kweupee! MSAADA PLZ PLZ
Matego ni hatari na wengi wanao naswa hawaponi, kuna mkoa mmoja wa kaskazini Mashariki mwa Tanzania, nimepata kusikia kuwa hao ni vinara wa matego tatizo ni kuwa tego hilo likimkamata mtu si rahisi kupona, tena nasikia gharama ya tego haizidi sh.1000/=(kama ni kweli), Dalili kubwa za mtu anayepoteza maisha kwa tego sehemu zake za siri (kwa wanaume) huwa zimesimamaTATIZO nina watoto nae wawili nikijaribu kuwaangalia watoto natatizika sana mama yao ndio keshageuka pia mlevi fulani na nafikiri yupo karibu na mimama ya mtaa kuliko mimi mumewe fail to understand! nataka tego lile la wagandamane mpaka watoe machozi,lakini mtaalamu huyo awe pia na detouch component baada ya kuwaaibisha!
Matego ni hatari na wengi wanao naswa hawaponi, kuna mkoa mmoja wa kaskazini Mashariki mwa Tanzania, nimepata kusikia kuwa hao ni vinara wa matego tatizo ni kuwa tego hilo likimkamata mtu si rahisi kupona, tena nasikia gharama ya tego haizidi sh.1000/=(kama ni kweli), Dalili kubwa za mtu anayepoteza maisha kwa tego sehemu zake za siri (kwa wanaume) huwa zimesimama
Pia inaaemekana mke anapotegwa shart asiwe na mtoto wa kiume !!!
Nitafute nikupe dawa,ukiwa unaingia kazini yeye huku nyumbani nampa tumbo la kuharisha ataharisha mpaka unarudi kazini sidhani kama atakua na hamu ya kuchepuka wakati yupo ktk uharo.