Msaada: Dawa ya tego

Msaada: Dawa ya tego

mdeki

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
3,299
Reaction score
475
Wadau naombeni msaada kwa anayefahamu dawa ya tego liwe la kunatiana au lolote lile.
 
Nitafute nikupatie Dawa ya tego la Kobe....hii ni kwamba ile Biology ikishanasana sharti la kuachiana ni hadi pale mtuhumiwa mwenyewe atakapomkata Kobe kichwa pasipo kumtoa nje ya Gamba lake, yaani umlie timing tu akitoa kichwa unakata, out of that ni kifo
 
Wadau naombeni msaada kwa anayefahamu dawa ya tego liwe la kunatiana au lolote lile.

Unataka wanasiane wakati wa kula "kiboga" au k? Bei inatofautiana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Bismilah laydhuru ma Zawjati fishey fil ardhi wala fil samaa wa huwa samii al aleem.

Kama we muislam some hilo dua hakuna atakaye msogelea mke wako kwa mabaya, haina haja ya kutafuta dawa wala nini.

Kila kitu unakipata kwenye Qur'an na sunna ni wewe tu kusoma na kufahamu.

Siku njema.
 
mungu akubariki sana
 
mi nmeisoma sana hyo ila mpaka sasa naibiwa,tego ndo zuri
 
Kwa wasio waislam je? haifanyi kazi au!
 
Wadau naombeni msaada kwa anayefahamu dawa ya tego liwe la kunatiana au lolote lile.

Dawa ya tego ipo na ni kuacha tabia za kutembea na wake za watu. Hakuna dawa nyingine yenye ufanisi mkubwa nje ya hapo!
 
Jamaa yangu unajidanganya ,
Amin usiamini huku kwetu kuna jamaa anamega mke wa sheik ina maana huyu sheikh hazijui hizo aya ??
So sad shetani anazidi tu kushinda !!
 
Wadau naombeni msaada kwa anayefahamu dawa ya tego liwe la kunatiana au lolote lile.

Mdeki; shida yote hiyo ya nini? uko tayari hata kulishwa hata mavi ya mbwa kisa kumtega mwenza wako. Achana na biashara hiyo, TAFUTA mpenzi mmoja mwaminifu nawe utaishi kwa raha na amani milele.
 
mi nmeisoma sana hyo ila mpaka sasa naibiwa,tego ndo zuri

hahaha. fazaa mueleweshe huyu, maombi ya mwenye haki ndo yanasikilizwa. Kama wewe unatoka nje ya ndoa, basi sala hii haisaidii. Utaibiwa hadi uchakae!
 
Last edited by a moderator:
Mdeki; shida yote hiyo ya nini? uko tayari hata kulishwa hata mavi ya mbwa kisa kumtega mwenza wako. Achana na biashara hiyo, TAFUTA mpenzi mmoja mwaminifu nawe utaishi kwa raha na amani milele.

u're right tabia ya mtu iko nafsini mwake,haiwezi kubadilishwa kwa kitu cha nje yake (external) km si muaminifu,achana naye,tafuta mwenza muaminifu (ila itafaa zaidi kama na wewe ni muaminifu).
 
Au kama vipi mwekee tego la mlangoni. Akivuka tu mlango akitoka nje tu jamaa akitaka kumgegeda dushe halisimami hata afanyeje. Ila jamaa kama atakuja kumgegeda chumbani kwako (kitu ambacho ni kigumu) dushe linasimama kama kawa. Hii inatufaa sisi madalali, muda wowote tunarudi nyumbani, hatuna ratiba maalum.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
usiombe ikukute hii aibu ni afadhari achana na huyo mkeo kama sio mwaminifu
 
Back
Top Bottom