Msaada: Dogo janja anaimbaga nini? Sijawahi kumuelewa

Ndugu sina chuki dhidi yake, ni katika kutaka kujua wanamuziki na muziki hapa nchini Tanzania. So far nauelewa zaidi Muziki wa Diamond, Harmonize, Ally Kiba, Ben Pol ILA BADO NAJILAZIMISHA kuwaelewa JUX, VANESSA, DOGO JANJA na ROMA.
hujui muziki.ova
 
Huyu na Queen darling sio wanamuziki..ni basi tu watanzania watu wasio jielewa.kifupu hawa sio wasanii wanaimba manyang'unyang'u
 
Mkuu kwani ww kiziwi Hadi usijue au usielewa acho imba Dogo janja mbona anatumia lugha yetu
 
Ndugu sina chuki dhidi yake, ni katika kutaka kujua wanamuziki na muziki hapa nchini Tanzania. So far nauelewa zaidi Muziki wa Diamond, Harmonize, Ally Kiba, Ben Pol ILA BADO NAJILAZIMISHA kuwaelewa JUX, VANESSA, DOGO JANJA na ROMA.
Kuna wengine Hawa wako hawaeelewi

Kila mmoja anavutiwa na anachokipenda

Wewe utapenda nyeusi yake yeye atapenda kekundu kako
 
[emoji23][emoji23][emoji23] yani saivi kuna wasanii kibaoo...na mim nataka niwe msanii
naweka zangu biti alafu naanza kukohoa hahahaha
Dogo analazimisha fani. Bora afungue jiko pale kwenye baa ya Uoya
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] " Anaimba mziki ambao hauna jina ila baada kuutafutia na kukosa jina la mziki ameamua kuita mziki biashara "
 
Dogo Janja anajua sana, sema ananikera mambo ya kuvaa vibrauzi na kikuku mguu wakushoto tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…